Baada ya Uchaguzi je?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Uchaguzi je??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Oct 12, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Ndugu mwana JF nadhani umekuwa ukifuatilia vizuri hizi kampeni za ccm zinavyokwenda mimi ninajiuliza baada ya hizi kampeini je A.Kinana atapewa kazi gani kama ikitokea CCM ikashinda??maana yeye ndiye pekee ambaye amekuwa kampeini meneja wa JK na sijaona mkongwe mwingine akimpa tafu JK je mtandao umekufa ule wa 2005??au bado hupo kama hupo mbona hauna nguvu??
   
 2. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kinana this time atapewa nafasi ya ubalozi katika moja ya nchi za kiarabu. Mtandao wa 2005, haujafa, bado upo ila this time unafanya kazi chini kwa chini. Wengi wao wako mikoani na pia wameongeza watu wengine kama akina Kaboyonga, Dr Chegeni na wengine kama wao ambao sasa hivi wanatembea kila kona kufanya kampeni zinazoitwa za nyumba kwa nyumba. Of-course wengi wao wanatumaini la kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya au mikoa baada ya uchaguzi kuisha.

  Hii ndio TZ zaidi ya uijuavyo.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Ccm haiwezi kushindwa kwa sababu imeshindwa kuongoza
  nadhani kila mtanzania anaona jinsi kikwete anavyowanadi mafisadi kwa hiyo mtandao bado upo tusubiri pale 2020 kikwete akipata uongozi atakapowaweka akina lowasa,rostam,mramba na vikaragosi vingine
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kinana na wenzie kina jk watadondosha machozi siku ya kuapishwa kwa shujaa DR W.SLAA, nadhani ule ugonjwa wa kuanguka anguka utajirudia maradufu
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hata mimi napata wasiwasi sana!!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kinana atasamehewa kodi kwa miaka 5 kwenye biashara zake zoote!!
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mungu apishe mbali hawa jamaa washindwe tu!
   
 8. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ICC itaongeza bajeti yake na safari za Louis Moreno Ocampo zitakuwa nyingi kuja East Africa.:hand:
   
Loading...