toka JPM ainge madarakani na kuanza shughuli rasmi.inasemekana nyumba za ibada zimeanza kufurika kwa kasi kubwa .hasa zile ibada za alfajiri kabla watu hawajatika ofisini hupitia kwenye makanisa kuomba .watu wanaomba Mungu awaaeushie na janga la kutumbuliwa.halafu pia nidhamu ya matumizi imeonekana kuimalika zaidi.nyumba ndogo na michepuke zitaendelea kuathirika zaidi