Daimler
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 556
- 973
Hivi, mtu ukipata matishio ya kiusalama, utasubiri siku nyingine zipite mpaka unapata muda wa kwenda kwenye mikutano ya hadhara na ndipo unatangaza kuwa, kuna matishio dhidi yako na unapanga kwenda Polisi kutoa taarifa?
Je, watu wakisema kuwa, mmepanga mjiteke ili kupata huru a ya wapiga kuwa watakuwa wamekosea? Ama mmeona mtumie hiyo njia ili ionekane kama CCM inawaogopa sana? Hebu soma maneno haya chini:
Tanzania Daima.