Baada ya Taliban kuichukua Afghanistan, Al-Shabaab nao waongeza juhudi za kujilipua mabomu

Nasikia kuna aya katika Kurani inasema kabla mtume hajafariki aliamurisha kuuliwa kwa wale wote wasioamini kuelekea siku za mwisho labda wasalimu amri kwa kuamini.
 
Ongoza vyote vya duniani Ila ukfika kwa waislam weka kituo kikubwa pumzika kisha rudi kuongoza tena ulpotoka km hutaki uwe mbolea chapu.hili chama sihami 4rever
 
Jamaa wamepata mzuka na kulianzisha upya...........wanajilipua kwenye masoko na ndani ya kandamnasi, haya mafundisho ya kidini yataitesa dunia....

Somali military officers

Somali military officers on a street in the capital Mogadishu on April 25, 2021. PHOTO | AFP
At least two people were killed and five wounded Thursday after a suicide bomber detonated a device inside a cafe in the Somali capital Mogadishu, police and witnesses said.

The suicide bomber targeted a tea shop near a crowded junction in northern Mogadishu which was reportedly frequented by members of the Somali security forces as well as civilians.

The Al-Qaeda-linked group Al-Shabaab claimed the attack through their Shahada News Agency, according to the US monitoring group SITE.

The early-evening attack, which sent debris flying outside, killed two members of the security forces and injured five people, said Mohamed Ali, a traffic policeman who was at the scene.

"Pieces of metal and destroyed plastic seats were strewn around the whole area," said Abdukadir Sagaalle, an eyewitness.

Al-Shabaab, which is fighting to overthrow Somalia's internationally-backed government, regularly attacks government and civilian targets in Mogadishu.


hicho kimwanajeshi kilivyo duh , i think ndo mana shda haziishi ,afya yao n 0
 
Kulizungumzia suala usilolijua ni changamoto.. Mimi ni muislam, katika mafundisho si ruhusa kutoa nafsi ya mtu tena haswa ambaye hana ukorofi na wewe, dini yetu ina sheria zake na mipaka yake mpaka kwenye vita, ukisoma vizuri utagundua hawa wapuuzi wana yao, hawana elimu yaa kutosha (wako brainwashed) na wale wenye elimu ya kutosha wana matamanio yao binafsi..

Nakubali zipo aya(tuite aya ni maelezo) zinazozungumzia vita, ila kuzielewa aya za quraan unahitaji elimu na sio kubeba tu kile ulichokiona, quraan imeshushwa kidogo kidogo, aya zake zilikuwa zikishushwa kwa sababu maalum, hivyo inabidi ujue sababu ya kushushwa, sio kusoma pigana, kissha unachukua uoanga ukapigane, je unapigana kwa mazingira gani, quraan imezungumzia mambo yoote ya kijamii, na washenzi hawa vinhine vyoote hawafati zaidi ya aya wanazojichagulia, mie huwa nasema hawa si waislam..
Mtume baaada ya kutimuliwa maka na kwenda madina, aliingia mkataba wa amani na wapinzani wake.. Lakini wale mabwana ndani ya mkataba wakawavamia waislam, ndio aya(maelezo) kadhaa yakashuka kwamba piganeni nao na vita ikiisha, ruksa wapinzani kuja nchini mwenu na inabidi muwalinde.. Lakini hizi aaya nyingine hawazichukui wanachukua hii. Aya ya kupigana tena kinyume na mafundisho, mtume hakufunndiaha kua watoto, wakina mama ama adui aliiyesalimu amri, maadui zake kadhaa badaee walikuja kuwa waislam

Nakuwekea aya kadhaa za quraan na tafsir toka kwa aliyekuwa kadhi mkuu wa Kenya

Elimu nii pana saana, dini imesisitiza tusome, aya ya kwanza kushuka ni msisitizo wa kusoma, moja ya sababu ya kusisitizwa kusoma ni hii usijekuwa brainwashed vizuri.. Sasa wewe umesom juu juu madhara yakes ndio hayo inachukuliwa aya moja juu juu watu wanakuwa tayari wamekukamata..


Katika hii attachment , Za juu nii aya chini ni Maelezo ya aya.. Why imeshuka n.k

Hii ni elimu ndogo niliyonayo mimi wenye elimu zaidi watakuja kuongezea
ALLAH ndio mjuzi zaidi

View attachment 1900788View attachment 1900789
Mkuu nisaidie kukipata hicho kitabu mahala kinapatikana....
 
Uislamu unafundisha kuua,kujilipua na ndio maana hata masheikh hutawahi wasikia wakikemea hata siku moja kwa maana wanajua kukemea ni kwenda kinyume na mungu wao aliyeasisi hayo.
Uislamu haujafundisha kuua,kwanza ni haraam kuua nafsi iliyoharamishwa)rejea madhambi saba yenye kuangamiza.....!

KAMA KUUA BASI YESU ALIRUHUSU KUWACHINJA MAADUI ZAKE
REJEA KAULI YAKE ALIPOSEMA

Luka 19:27, ambayo inasema: Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.​

 
Hivi Hakuna namna yakuibadilisha hiyo Quran, yale mafunzo ya mauaji yakafutwa kabisa
 
Hizi nguvu za kuandika andika ma-insha kwenye mitandao ndio tunasema mjitoe mhanga na kuwaambia moja kwa moja kama kweli hamkubaliani na hayo mauaji wanayofanya kwa kujilipua mabomu, tena wote wakitumia hicho hicho kitabu kama kinga. Na hawapo sehemu moja, wako mataifa mengi, mataba mbali mbali na wote wanaunganishwa na hicho kitabu.
Nguvu za nn wakat ukweli unasemwa kila leo
Endeleeni kua brain washed aminini mnachokiamini
No-more

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Dini imeanzia kwa watu jamii hiyo

Wewe endelea kukaza ubongo, ila logically wao wanauelewa mpana zaidi wa dini ya kiislamu kuliko nyie mlioletewa

Kwa mantiki hiyo wao wapo sahihi kuliko wapuuzi manosema hawapo sahihi. Kulingana na vifungi vya dini ya kiislamu
Mbna nyie hamuoani kama wanavyoana dini ilipo anzia kwao
Nyie endeleeni kua brain washed

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huko kujilipua ndani ya soko na kuua akina mama nitilie ndio kukomesha mabeberu? Hehehe!! Mna matatizo hata shetani mwenyewe anawashangaa....
Wapumbavu tu na dini yao ng'ombe hawa
 
Kuna tatizo kubwa sana linahitaji kushughulikiwa kwa dhati. Kiwango (scale) ya ugaidi unaofanywa kwa kutumia jina la “uislamu” ni kikubwa sana na kinatisha kwa aina ya maangamizi na ukatili unaofanywa.

Lazima wenye dhamana na uislamu washtuke inakuwaje dini yao inabeba zigo hilo kulinganisha na dini zingine? Kivipi wapotoshaji wanakuwa na nguvu kuliko weledi, wakweli na wenye kuzingatia haki za uislamu?

Kuna uvumi wa muda mrefu kuwa tawala kubwa za kiislamu duniani hususan Saudi Arabia na Iran ndizo zinazoasisi, kulea na kugharamia mitandao ya taasisi zinazoeneza mafunzo yenye imani kali ya kiislamu yenye lengo la kuangamiza makafiri wote, kuondoa tawala za “kisekula” na kusimika utawala wa sharia dunia nzima.

Inasemekana taasisi kubwa za kijasusi duniani kama CIA, FSB, MI6, DGSE, n.k. wanafahamu hili na kuna wakati wanatumia vikundi vya taasisi hizo za kiislamu kupambana na mahasimu wao. Kama vile CIA walivyowatumia Mujahideen (sasa Taliban) na Al Qaeda kupitia Saudi Arabia kuing’oa Urusi toka Afghanistan miaka ya 1980.

Inashangaza kwamba wakuu wa Saudi Arabia wanaovuma kwa maisha ya anasa kwenye maCasino na madanguro exclusive kwenye maeneo exotic duniani ndio wafadhili wakuu wa vikundi vya kigaidi vinavyoeneza imani kali kwa ukatili wa hali ya juu. Wanashirikiana na wauza silaha wakuu walioko nchi za magharibi (makafiri).

Nionavyo, Waislamu wa kweli wameshindwa kuwadhibiti mabaradhuli hawa kutokana na ukubwa wa pesa (trillions of USD), mamlaka (authority) na nguvu (power) zinazohusika.

Kama Waislamu hawataweza kuwadhibiti hususan “mashehe wa Saudia” kuacha unafiki, wasishangae kuona/kusikia usemi wa “dini ya amani” ukiendelea kupuuzwa na kubezwa. Inasikitisha.
mkuu hao hao CIA FBI nk ndio hao hao wanaowafadhili hao Saudia ambao umewataja nawao wamewataja kama wafadhili wakubwa waugaidi
1.saudia anadhamini kiwango kikubwa cha silaha na mataifa gani kama sio hao hao wanaosema kama anafadhili ugaidi nabado wanampa silaha zakazi gani kama wao hawatetei nakusapoti ugaidi!?
2.ugaidi ni nini ama unatokana na nini ama dini tu ndio inayosababisha ugaidi na magaidi ku
3.kila mtu anaetangazwa gaidi na US navibaraka wake anaweza akawa gaidi maana tumeona kuna nyakati mpaka watu kama kina mandela tuliaminishwa kua magaidi halaf baadae tukaaminishwa kua watu wema kupindukia
Brainwashed tatizo kubwa sana asee US nawengineo wanaweza kuyafanya maslahi yao kua halali hata kama haramu namfano wake na hata halali anaweza akaifanya haram mfano mdogo kama aliweza kuivamia IRAQ kwakigezo kwamba wanasilaha za maangamizi nahatimae hazijaonekana huyu mtu anaaminikaje tena
IRAN hajawahi nahatawahi kusapoti ugaidi muungaji mkono namba moja waugaidi duniani ni USA+NATO na vibaraka wao kama ISRAEL SAUDIA nk

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea mengi halaf huongei yamsingi yaani hata humu kuna waislam ndio hao wanaokwambia kuhusu alshabab kama hawapo sahihi halaf unaongea nini
Mnataka watu wahubiri nini kama hapa kwenye social media mnaamini mlioaminishwa nahao wauaji
Kwani hawa wanaokwambia kama mafundisho ya UISLAM hayapo hivyo sio waislam wanaupinga ugaidi
Uislam umekataza kuua wakina mama watoto nawatu wasiokua nahatia inamaana kama alshabab wameua yeyote kati ya niliowataja hapo tayari washaenda kinyume na maamrisho ya huo UISLAM mkiambiwa mnakaza shingi
Hata wauwe DUNIA nzima kwakigezo cha UISLAM hawawez kua WAISLAM nawala hawawez kua wanafuata misingi sahihi ya UISLAM
Hao ulowataja marangapi wameua WAISLAM wenzao pia tena wakiwa miskitini wanapataje uhalali wakua WAISLAM ikiwa mpaka wenzao wanawaua tena kwamtindo ule ule wanaowaua wasiokua WAISLAM
Nb:-UISLAM ndio mfumo sahihi wamaisha ya mwanaadam hata kama DUNIA nzima itaungana kuupiga vita nakuundia PROPAGANDA teleeeeee ila huu utabakia kua ndio ukweli mpaka mwisho wa DUNIA

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Alshabab mwingine huyu,mfia dini
 
Back
Top Bottom