Baada ya Strabag kuuzwa

Nsaji Mpoki

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
396
65
hivi itachukua miaka mingapi kumaliza ujenzi wa barabara ya kimara jangwani. Mvua zinakaribia na hakuna anaeonekana kujali. mpo watu wanauziana kazi mmekaa kimya. Kidumu cha cha Mapinduzi
 
si mnamuona waziri wenu anachapa kazi kumbe usanii tu!juzi nimepita maeneo ya ruvu barabara ishabomoka full kuvimba kama adazi limeumuka
 
hivi itachukua miaka mingapi kumaliza ujenzi wa barabara ya kimara jangwani. Mvua zinakaribia na hakuna anaeonekana kujali. mpo watu wanauziana kazi mmekaa kimya. Kidumu cha cha Mapinduzi
Khaa!! Unafikiria hadi masika?? Mbona kizaazaa chake sasa hivi si cha kitoto. Hii miinjinia sijui imesoma wapi? Kwa akili zao fupi wanaanza kutengeneza barabara saa 11 asubuhi kwa kasi kubwa hadi saa tatu halafu kasi ya ujenzi inapungua. Hivi hawawezi kuacha/kupunguza kazi ya ujenzi kipindi cha high trafic na kufungua zile njia ambazo zinaweza kupitika bila kufanya uharibifu wa barabara wakati huo kupunguza adha ya msongamano kwa wakati huo? Wanafunga kipande cha barabara muhimu kwa wiki nzima bila kufanya chochote zaidi ya kuongeza taabu kwa watumiaji barabara wengine bila sababu ya maana. Sijui wameamua kutukomoa tu ? Nina hasira sana na hawa...kudadadadeki zao :frusty:
 
Usije ukashangaa ukiambiwa hilo ni funzo kwa kuchagua Mbunge kutoka Upinzani...
Huyu Mkuu wetu ana Roho mbaya sana, halafu ni mtu wa visasi sana.
 
Kazi za ujenzi wa barabara hizo za BRT zitakamirika mwaka 2015 karibia na uchaguzi mkuu. Kwahiyo uwe mpole tu mkuu.
 
Back
Top Bottom