Baada ya skendo ya BAE SYSTEMS, Tumenunua Rada nyingine ya bilioni 60 toka Uingereza

Foreign Observer,
Nafikiri taratibu zote zimefuatwa kuhusu suala la tenda husika. Tatizo ni kwamba tenda zinapotangazwa kupitia magazeti ya serikali ni watu wachache sana huwa wanapata nafasi ya kuzisoma. Kwa kuwa kuna baadhi ya watu wamelishwa sumu ya chuki,ukanda na ukabila na kuyasusia magazeti ya Serikali. Naomba tuwe wawazi na wakweli haswa katika masuala yanayohusu Taifa kwa ujumla na tuepuke tabia zamkupotosha UMMA. Ukienda Wizara ya habari kitengo cha Maelezo utapata taarifa za tenda husika mkuu.

La pili ni kwamba kwenye mada yako haujagusia ya kwamba Rada hizo zitaenda mikoa ( viwanja vya ndege) gani? Na kwa kupitia mchakato huo Serikali imeokoa kiasi gani cha pesa ya mlipa Kodi !

Rada hizo zitafunaisha mikoa ya Dar es salaam (JKNIA), Kilimanjaro (KIA), Mwanza (MIA) na Mbeya (Songwe Airport).....achilia mbali umuhimu na manufaa ya Ulinzi na Usalama ki Taifa kwa Ujumla.
Na kupitia mchakato huo Serikali imeweza kuokoa takribani Tsh 10 bn/-.

Tanzania kwanza.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Serikali ya kutumbua pesa,sijui kama taratibu zilifuatwa,bunge wenyewe liko compromises
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom