Baada ya siku 226 rumande, Zitto Kabwe asema “KWA MBOWE HAKI IMETENDEKA”

Mpaka dk ya 90 Serikali 0 Mbowe 3! Zaidi tu tumeshuhudia mchezo wenye rafu nyingi sana kutoka timu ya serikali.
 
Kuna member mmoja humu jamii forum aliwahi kukomenti kwamba siku kesi ya Mbowe na wenzake ikimalizika tutaona nyeti za pahala fulani hadharani jina nimemsahau
 
Nauona mpambano wa Uchawa Utakaopamba Moto kwa Ccm kati ya Chadema na Act-W.
.
Kila mtu atajipendekeza kwake, kila mtu ataomba kukutana na Chief State House.
.
Kila Chama kitataka kiwe mtetezi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha

Chadema wanashiriki sana ku repost post za Zitto Kabwe kumpa umaarufu kila anach post

Nahisi Zitto anawalipa Chadema kwa kazi hii
 
Mtu anashikiliwa siku zote hizo, kisha anaachiwa haki ipo wapi? Tusifanywe sisi ni taifa la panya buku na manyani.
 
Back
Top Bottom