Baada ya sherehe za christmas na mwaka mpya 2019, huku uchagani mbona kuna magari mengi sana ya kifahari?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,629
Hello guys,

Nimekuwa nikitembelea uchagani (kwenye vipindi vya mwisho wa mwaka) kwa miaka 16, lakini kwenye Christmas ya 2018 nimeshuhudia mji wa moshi ukiwa na magari mengi aina ya toyota v8, range rover, Audi, bmw na Mercedes Benz tofauti na miaka iliopita ambapo magari ya kifahari yalikuwa yanaonekana kwa nadra sana huku moshi. Kwa waliokaa moshi na moshi vijijini mda mrefu watakuwa wame-notice hiki kitu.

Sasa nimejiuliza maswali mengi, nahisi asilimia kubwa ya wanaoendesha hayo magari ya kifahari wameyakodisha kwa muda ili waje kuosha jina huku uchagani..au kama wameyanunua bhasi hawana uwezo wa kuya-afford inavotakiwa (yani wana magari ya kifahari lkn wana madeni mengi, na bank accounts zao zipo empty)

Kuna mwingine humu jf ame-notice kuwa moshi cku hizi magari ya kifahari ni mengi zaidi tofauti na miaka iliopita?
 
Ni halali yao.kama.wameyapata kwa njia halali
 
Huna picha?
 
Back
Top Bottom