Baada ya serikali ya CCM kutumia nguvu kubwa kuua upinzani bila mafanikio, Nachokiona itazima mtandao siku ya Tarehe 28 Oktoba

Mar 6, 2017
33
135
Tangu awamu ya 5 inayoongozwa na John Pombe Magufuli iingie madarakani mwaka 2015, imejitahidi sana kupambana na upinzani kwa kutumia vyombo mbalimbali vya serikali ili kuvunja nguvu ya mashabiki na wanachama wanaounga mkono vyama vya upinzani hasa Chadema. Katika uchaguzi huu CCM walitegemea sana kuwa ungekuwa wa mtelemko kuliko maelezo badaka yake umekuwa ni uchaguzi mgumu sana kuwa kutokea kwao. Mbinu zinazotumika ni zifuatazo (Baadhi zimefeli)

1. Kuenguliwa kwa wagombea wa ubunge na udiwani wa vyama vya upinzani hasa Chadema na ACT ambavyo ni mwiba kwa CCM. Wagombea wengi wameenguliwa tena bila sababu za msingi na NEC imebiriki ujinga huu.Ikumbukwe mwaka 2015 mgombe aliyepita bila kupingwa Tanzania nzima alikuwa ni mmoja tu, lakini this time imekuwa ni ushindi wa mezani kwa chama dola.

2. Kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa upinzani kwa kisingizio cha kuvunja kanuni za uchaguzi mfano Tundu Lissu, Maalim Seif, Halima mdee, n.k. Lakini wagombea wa CCM wanaotumia mitusi kwenye mikutano yao na wengine wanaofanya kampeni bila ratiba au kutumia ukabila (Magufuli) wakiachwa na NEC.

3. Kutumia polisi kutisha wafuasi wa upinzani tena kwa kupiga mabomu ya machozi mfano Lissu akiwa Serengeti na Somanga, na Salum Mwalimu akiwa morogoro. Wakati mwingine polisi kuwa watabiri wa nani atashinda jimbo au kata Fulani mfano jimboni Hai.

4. Kupiga na kuwaumiza au kuteketeza mali za wagombea wa upinzani mfano Catherine Ruge, na Mbowe (Mpango ukiratibiwa na Sabaya).

5. Kutumia mamlaka mbalimbali kuwanyima wagombea upinzani kutumia usafiri kama chopa na pantoni (Lissu akielekea Ukelewe)

6. Kuitumia NEC kuvuruga mpangilio wa siku zote wa alphabetic order katika kalatasi ya majina lengo jina la mgombea wa chadema liwe la mwisho

7. Kutunga na kupitisha sheria ya siasa kupitia msajiri wa vyama vya siasa (a.k.a mdhibiti wa vyama vya upinzani) inayozuia vyama vya siasa kuungana kama ilivyokuwa kwa UKAWA, kuzuia uingizaji wa fedha kipindi hiki lengo ni vyama vishindwe kufanya kampeni (japo Chadema sisi wanachama na wanachi wazalendo tunaichangia bila shida)

8. Walinzi wa wagombea kukamatwa na wengine kujeruhiwa mfano mlinzi wa Ester Matiko na Mbowe, na baadhi ya ofisi za chadema sehemu mbalkimbali kuchomwa moto

9. Raisi kutumia nafasi yake kufungua miradi mbalimbali kipindi cha kampeni mfano mbezi, kigoma na moshi mjini

10. Vituo na majina hewa katika majimbo ambayo upinzani unanguvu kubwa mfano nyamagana, mbeya mjini, kigoma mjini na arusha mjini

11. Vodacom kuingia katika kuisaidia CCM ambapo hivi sasa ukituma meseji (SMS) kupitia mtandao wa vodaco na ukaandika neno Tundu Lissu basi sms hiyo haiendi (inafeli)

12. Kumzuia Lissu ambaye ni mgombea wa Uraisi kufanya mikutano ya barabarani kwa kisingizio cha kuwa hana ratiba eneo husika lakini Kassimu Majaliwa anazunguka nchi nzima japo sio mgombea. Mfano mikutano ya Tundu Lissu ya jana tarehe 23 kibiti, mkuranga, ikwilili, rufiji, somanga, kirwa masoko na mchinga ilivyohujumiwa.

13. Ubabaishaji katika kuapisha mawakala wa vyama vya upinzani hasa chadema mfano chato

14. Propaganda chafu dhidi ya Lissu mfano za ushoga na kutumika na mataifa ya nje nazo hazijazaa matunda.

15. Mkurugenzi wa Ubungo kutoa fomu ya mgombea ubunge wa jimbo la kibamba kwa tiketi ya Chadema asiye na barua rasmi ya utambulisho toka Chadema (Lengo likiwa ajitoe na CCM ipite bila kupingwa). Huyu mkurugenzi mtakumbuka aliwahi kuwatuma polisi kuondoa bendera barabarani maeneo ya mlimani city wakati chadema wakifanya mikutano yao pale

16. Mashuleni walimu tunaitwa na kutishwa sana endapo hatutamchagua Magufuli, (Pamoja na vitisho hivyo, mie nilishaapa simchagui mgombea yoyote wa CCM iwe diwani, mbunge au Raisi)

Pamoja na kuwa chama dola, kutumia media (TBC, Channel ten, star TV, Magazeti ya musiba n.k ) kujitangaza, kutumia wasanii 200+ wa bongo fleva, kutumia mabango kila uchocholo wanchi hii huku mgombea wa upinzani Lissu akiwa bila bango,

YOTE HAYA YAMESHINDWA KUZAA MATUNDA. KILICHOBAKI NI KUZIMA MITANDAO TU SIKU YA UCHAGUZI ILI WAPINZANI TUPOTEZANE . HII INAWEZEKANA MAANA HATA UCHAGUZI WA BURUNDI ULIOMUINGIZA RAISI ALIYOKO MADARAKANI (ALIKUJA KIGOMA KUMNADI MGOMBEA WA CCM) ILIBIDI MITANDAO UZIMWE.
 
Chadema mmeishi kwa wasiwasi maisha yenu yote

Hakuna wa kuzima mtandao na Watanzania tunahasira na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

Tanzania hatutaki ushoga,
 
Kwani wakizima kura zinapigwa mitandaoni? Watakua wamewaondolea bavicha vijiwe vyenu vya kuongea umbea na kuchochea ujinga..
Naunga mkono kuzima mitandao..!
Mnaogopa kila kitu sasa hivi..
 
NYINYI WENYEWE MUMELETA MGOMBEA YULE MWANAHAKATI WA KUPAYUKAPAYUKA HOVYO, SASA MNAANZA KUWEWESEKA. SUBIRINI KUGARAGAZWA ASUBUHIII
 
Back
Top Bottom