Baada ya Serikali kuzuia mzigo wa almasi Airport, Rais wa kampuni ya Petra Diamond atua Tanzania kutuliza mambo

Acacia wamewashinda mnadandia kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app

umesoma leo acacia wameamua nini?

hivi wewe unapoishi ni housegirl? haujitambui? unawezaje ku idiss nchi ya mama yako? ni mwiko mkuu!! ulichoandika hapo hauwezi kusema kwa sauti hata mmeo na watoto wako wakasikia.....hata ukikasirika ndio ukweli
 
23cefc5edf39e08e539d69f5e2f34ecd.jpg

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Ni jambo jema kwamba Mwadui bado kuna madini mengi kiasi hicho. Cha msingi, rais aache sensationalism na aungane na wapinzani ili kulinda madini yetu. Atambu kwamba baada ya miaka 10 ataondoka madarakani na kukiachia nchi chama chake(hata kwa hila) ambacho ndicho kimetufikisha hapa. Dili zote za Mwadui kuanzia kuuzwa kwa hisa za serikali mpaka mrabaha hewa.

Serikali ijikite kuunda taasisi imara. Habari njema kama hizi zikitolewa kwa ushabiki na one-man show attitude inakosa nguvu ya kuuvuta umma pamoja. Mabeberu hawaoni shida kusubiri miaka 10 tu maana wa mipango ya kutunyonya kwa miaka 100 mbele.
Hapo pa kuungana na upinzan ndo mnapoharibu. Upinzan ushajiweka timu kupinga kila kitu,timu kujua kila kitu yaani wao ndo watanzania pekee wanaojua nini jpm anatakiwa afanye. Naamn jpm kuna watu wenye werevu wengi mno sema siasa wameziweka mbele. Yaani wanaoongelea upinzan kushirikishwa hawana kipya zaid ya kumtaka lisu asikilizwe. Lkn je lisu Ana MORAL AUTHORITY ya kusikilizwa?je hoja zake ni genuine?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
umekurupuka kama alivyokuruvula barafu,wanaothaminisha vito sio TMAA,ni TANSORT...jaribu kujifunza mambo

Yawezekana Barafu ameteleza kushindwa kutofautisha TMAA na TANSORT lakini tuyafakari mambo ya msingi yaliyomo ndani ya andiko lake.
1. Wizi unaoendelea kufanyika kupitia mikataba ya kimangungo.
2. Jitihada zinazofanywa na Rais hata kama hatumpendi.
Mpaka sasa tumefumuliwa macho kwenye maeneo mawili (dhahabu na almasi) hatukui kwenye gesi kukoje! Mapema tuliambiwa kuwa uzalishaji wa gesi ukianza bei ya umeme ingepungua lakini sote tunashuhudia malumbano kati ya EWURA na serikali kila wakati kuhusu kupanda kwa umeme huku tukiambiwa kuwa gharama za umeme kwa nchi yetu ni za chini ukilinganisha na nchi nyingine. Je hatuibiwi hapo?
Kwa tulioishi Mwadui tulifurahia sana lift za ndege kuja Dsm, maziwa fresh ya bure kule New Alamasi yakipitishwa kwenye milango ya wafanyakazi kila siku.
Na sisi tuliokuwa wadogo/watoto kupenda kuumwa ili tukalazwe hospitalini ili tupate mgao wa maziwa ya bure ya wagonjwa.
Kumbe ilikuwa ni PEREMENDE ya kunyamazishwa ili De beers wapige mzigo wa kutosha. Hii ndio inajidhihirisha sasa kupitia MIKATABA YA KIMANGUNGO inayosainiwa kwa kupewa Juice na kuruhusu rasilimali zetu kuondoka kiulaini..
 
Mkuu kule kuibiwa nakokusema mimi,ni kule kuibiwa kwa "Kisheria na kimkataba"..,ambapo hakuwezi kuharamishwa mahakamani sababu kumehararishwa kisheria na kimkataba.

Huku kuibiwa ndio kunakosemwa na kina Tundu Lissu,kwamba tumeibiwa sana na tunaibiwa sana,ila kuibiwa huku ni kutokana na wenzetu wachache kusaini mikataba ya kipuuzi.

Kama Watanzania wenye nchi yetu,hatuwezi kusema hatuibiwa eti kwa vile tukienda mahakamani hatutashinda,kuibiwa tunaibiwa,ila tunaibiwa "kisheria na kimkataba"

Hata Mangungo aliibiwa,ila aliibiwa kwa yeye kusaini bila kujua kuwa anaibiwa...na wa sasa wanaibiwa wanajua kuwa wanasaini ili waibiwe
Mmekarr MANENO ya LISU kuwa tunaibiwa kisheria na kutokana na mikataba tuliyoingia. Nkuulize kuna sheria yyt inayoruhusu TMAA na mamlaka zingine kushirikiana na wawekezaji kudeclare thamani na aina tofaut na madini kilichopatikana?Kinacholalamikiwa sio udogo wa % za mrahaba wala kias kidogo cha kodi yyt tunayopata. Swala ktk kile tulichokubaliana hakifuatwi na sio misingi ya kisheria zaid ni udanganyifu ktk kudeclare kile kinachopatikana. UKISEMA HATUIBIWI BALI TUNAIBIWA KISHERIA huo ni UPOTOSHAJI na ni misconception kwa kile TANZANIA inacholalamika

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Inawezekana si serikali tu inaibiwa hata wenye migodi De Beers wanapigwa na wanye hisa kwenye migodi nao wanapigwa.
Hivyo Mkulu Pombe apewe shukurani na wote wenye hisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo tuwaache waendelee kutuibia mkuu kisa wao ndio kila kitu kwenye almas? Tuache uoga au kuangalia nyuma kugeuka jiwe tusonge mbele kama Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ungesoma kwanza nilivoandika halaf ndio ukachangia!!!!
Kwani nilisema tuwe waoga au tuache watuibie??
Watu huwa wanakunya kwanza wakimaliza ndio wanatawaza.
Sasa wewe unajitawaza kabla hata yakuanza kunya
 
Yawezekana Barafu ameteleza kushindwa kutofautisha TMAA na TANSORT lakini tuyafakari mambo ya msingi yaliyomo ndani ya andiko lake.
1. Wizi unaoendelea kufanyika kupitia mikataba ya kimangungo.
2. Jitihada zinazofanywa na Rais hata kama hatumpendi.
Mpaka sasa tumefumuliwa macho kwenye maeneo mawili (dhahabu na almasi) hatukui kwenye gesi kukoje! Mapema tuliambiwa kuwa uzalishaji wa gesi ukianza bei ya umeme ingepungua lakini sote tunashuhudia malumbano kati ya EWURA na serikali kila wakati kuhusu kupanda kwa umeme huku tukiambiwa kuwa gharama za umeme kwa nchi yetu ni za chini ukilinganisha na nchi nyingine. Je hatuibiwi hapo?
Kwa tulioishi Mwadui tulifurahia sana lift za ndege kuja Dsm, maziwa fresh ya bure kule New Alamasi yakipitishwa kwenye milango ya wafanyakazi kila siku.
Na sisi tuliokuwa wadogo/watoto kupenda kuumwa ili tukalazwe hospitalini ili tupate mgao wa maziwa ya bure ya wagonjwa.
Kumbe ilikuwa ni PEREMENDE ya kunyamazishwa ili De beers wapige mzigo wa kutosha. Hii ndio inajidhihirisha sasa kupitia MIKATABA YA KIMANGUNGO inayosainiwa kwa kupewa Juice na kuruhusu rasilimali zetu kuondoka kiulaini..
Kama umesikiliza report ya leo bungeni...utakuwa umejua nafasi ya TMAA katika upotevu huu wa mdani ngumbuke
 
umekurupuka kama alivyokurupuka barafu,wanaothaminisha vito sio TMAA,ni TANSORT...jaribu kujifunza mambo
Report ya leo nadhani imetoa picha nafasi ya TMAA...hiyo TANSORT ipo chini ya Wizara ya Nishati na Madini
 
yes,TANSORT ndio wametuingiza kingi kwenye valuation ya gemstones(kama kweli walikuwa wana-undervalue)
TMAA walikuwa wanatoa value ya juu lakini kwa vile kisheria TANSORT ndio alfa and omega(in zungu's voice) walikuwa wanatoa value yao ambayo kwa mujibu wa kamati ilikuwa chini kulinganisha na ya TMAA
 
Asante
 
Siku zote leo umeongea ukweli bila ya kuwa biased mkuu. Nakubaliana na wewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana Barafu ameteleza kushindwa kutofautisha TMAA na TANSORT lakini tuyafakari mambo ya msingi yaliyomo ndani ya andiko lake.
1. Wizi unaoendelea kufanyika kupitia mikataba ya kimangungo.
2. Jitihada zinazofanywa na Rais hata kama hatumpendi.
Mpaka sasa tumefumuliwa macho kwenye maeneo mawili (dhahabu na almasi) hatukui kwenye gesi kukoje! Mapema tuliambiwa kuwa uzalishaji wa gesi ukianza bei ya umeme ingepungua lakini sote tunashuhudia malumbano kati ya EWURA na serikali kila wakati kuhusu kupanda kwa umeme huku tukiambiwa kuwa gharama za umeme kwa nchi yetu ni za chini ukilinganisha na nchi nyingine. Je hatuibiwi hapo?
Kwa tulioishi Mwadui tulifurahia sana lift za ndege kuja Dsm, maziwa fresh ya bure kule New Alamasi yakipitishwa kwenye milango ya wafanyakazi kila siku.
Na sisi tuliokuwa wadogo/watoto kupenda kuumwa ili tukalazwe hospitalini ili tupate mgao wa maziwa ya bure ya wagonjwa.
Kumbe ilikuwa ni PEREMENDE ya kunyamazishwa ili De beers wapige mzigo wa kutosha. Hii ndio inajidhihirisha sasa kupitia MIKATABA YA KIMANGUNGO inayosainiwa kwa kupewa Juice na kuruhusu rasilimali zetu kuondoka kiulaini..
Nafikiri report ya jana imethibitisha kila kitu...Na imekuja kujazia yale tu niliyoyadokeza hapa toka kwa baadhi ya wajumbe wa Tume iliyoundwa kuchunguza
 
Back
Top Bottom