Baada ya serikali kuundwa!

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
126
9
1). Tunaelekea wapi kutokea hapa?

2). Lazima kiukweli na kwa makusudi kabisa kwanza tujitambue tuko wapi kwa sasa?

3). Maana vitu na huduma nzuri wanazo watawala,wafanya biashara na wezi wakubwa na familia zao tu,wakati kwa mtu wa kawaida anachokipata ni 0.08% .na maovu yote 98% yanayofanywa katika jamii yetu ni ya mtu wa kawaida(mlala hoi).

4). Ni namna gani tutaweza kusaidiana katika janga hili baya la kiuchumi katika jamii ambayo haina muelekeo na imesha kata tamaa?

5). Tunahitaji watu walio ndani ya bunge ambao wana fikra na dhamira za makusudi za kuondoa nchi katika hili.
 
Tunahitaji kutengeneza kachumbari yenye pilipili hoho na kuwalisha hao mafisadi mpaka waharishe waliyotuibia!!
 
Back
Top Bottom