Baada ya Samia kutangaza kuja na Baraza jipya la Mawaziri, pichani nawaona hawa waking'olewa

Naelekea Bagamoyo kufanya Ziara ya kushtukiza nitawapa mrejesho.
 
You are right,ila tatizo sio kwamba si watendaji wazuri,they are,shida ni kwamba wameona hakuna la maana linaloendelea,ndio maana wamejiweka pembeni.Let us be frank,kwa kiongozi ambaye sio pro mabeberu,sio mchumia tumbo,sio mpigaji,sio hypocrite na ambaye anapenda ku-deliver for Tanzanians,Samias' government is the wrong place to be.Na niwe muwazi,kwa yale ninayo yasikia mtaani kwa wananchi,2025 Samia kupita labda CCM iibe kura.Mimi ni mwana CCM,lakini huo ndio ukweli.
2020 Marehemu Magufuli alishinda? Tuanzie hapo. Pia 2015 alishinda? Mizania ya haki ikitumika mi kwamba Wananchi wameshatuchoka CCM. Na sasa na hizi tozo, bei ya kufunga umeme,. Mafuta, sukari n.k tegemea chuki zaidi. Hivyo mwana CCM yoyote kupita ni Yale magoli yetu. Tuwe wakweli.
 
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
Okay
 
Back
Top Bottom