Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
223
500
Kwani mama anapambana na marehemu?
Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.
 
Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
577
1,000
Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.
Haya kojoa ukalale!
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,100
2,000
Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.

Na mgombea Wake mwenza je. Kama Hiyo ndo mantiki yako.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Lengai ole sabaya alikuwa muovu.
Akiwatsa watu kukojoa mbowe.
Mungu wetu mkuu ameoneaha kwamba yye ni mwema.
Amehukumiwa .aliyemteua licha ya kuwa alighushi vitambulisho vya usalama hayupo
Haki imetamalaki
Asante mungu nikulipe nn baba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom