Baada ya S400 kuumizwa vichwa vya wamagharibi sasa Urusi hatimae yaleta S500

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,128
33,172
Nchi nyingi zilionesha nia ya kununua S400 na Marekani ilipinga vikali nchi hizo zisinunue silaha hiyo muhimu kwa Ulinzi wa anga la nchi yoyote.

Ilifikia hatua kwa Marekani kumuogopa S400 ikatishia kuziwekea vikwazo nchi zitakazo inunua.
Mfano Uturuki,India na Saudia.

S400 ni pasua kichwa kwa kweli,maana ukiiweka katika ardhi yako Basi kifaa chochote kilichotengenezwa na mwanadamu hakiwezi kukatiza kwenye anga lako bila kuonekana,ni wewe tu kuamuia ukidungue au ukiache.

Pasua kichwa aisee.
Sasa Kabla hata moto wa S400 haujapoa, Hatimae Urusi imeshusha kubwa lake,S500.

Kama S400 imewakosesha kabisa raha Wamarekani vipi kuhusu S500?

Russia begins rollout of new S-500 air defence system - report​

Reuters

MOSCOW, Sept 16 (Reuters) - Russia has completed tests of its new S-500 surface-to-air missile system and has started supplying it to the armed forces, the RIA news agency quoted deputy prime minister Yuri Borisov as saying on Thursday.

The S-500, a weapon Moscow hopes will beef up its own defences and become an export best seller, has been described as a space defence system and can intercept intercontinental ballistic missiles, hypersonic cruise missiles and aircraft.
 
New Russian S-500 Air Defense System Enters Service​

S-500
Russia's S-500 air defense system carries out live fire exercises and hits a high-speed ballistic target at The Kapustin Yar Training Ground. Photo: AFP

Russian Deputy Prime Minister Yuri Borisov announced on Thursday that the first installation of the country’s new S-500 air defense system has begun.

Speaking to journalists, the official revealed that the next-generation weapon system has completed “state trials,” and production of the first elements of the system are now taking place.

However, Borisov clarified that there are still configurations to make in the system. The first batch of equipment entering service is not yet the full range that the manufacturer desires.
The S-500 missile system will replace the S-400 currently in use.

About the S-500 Air Defense System​

Produced by Russian state-owned defense company Almaz-Antey Concern, the S-500 is designed to intercept intercontinental ballistic missiles and other aerial attacks at an altitude of up to 200 kilometers (124 miles).

The weapon system can hit up to 10 targets at a range of up to 600 kilometers (372 miles) and has a response time of three to four seconds, shorter than the S-400.

The S-500 uses the 77N6-N and 77N6-N1 missiles, which can be fitted with an inert warhead capable of destroying enemy nuclear warheads with precision.

Earlier this year, the Russian Ministry of Defense released footage showing the system’s test launch at the Kapustin Yar range. It reportedly intercepted a “high-speed ballistic target” during the event.
 
Haya machuma si ya kuamini sana, angalau iron domes tumeona uhalisia wake kwenye vita. Kwani hapo Syria wamefunga nini? kwa sababu Israeli alikuwa anajipigia tu.
Team Russia wanadai hizo S-400 ziliwekwa hapo Syria ili kulinda askari wa Urusi waliopo hapo na kambi wanazotumia hao askari ila kulinda anga la Syria haikuwa kipaumbele chao.
 
New Russian S-500 Air Defense System Enters Service​

S-500
Russia's S-500 air defense system carries out live fire exercises and hits a high-speed ballistic target at The Kapustin Yar Training Ground. Photo: AFP

Russian Deputy Prime Minister Yuri Borisov announced on Thursday that the first installation of the country’s new S-500 air defense system has begun.

Speaking to journalists, the official revealed that the next-generation weapon system has completed “state trials,” and production of the first elements of the system are now taking place.

However, Borisov clarified that there are still configurations to make in the system. The first batch of equipment entering service is not yet the full range that the manufacturer desires.
The S-500 missile system will replace the S-400 currently in use.

About the S-500 Air Defense System​

Produced by Russian state-owned defense company Almaz-Antey Concern, the S-500 is designed to intercept intercontinental ballistic missiles and other aerial attacks at an altitude of up to 200 kilometers (124 miles).

The weapon system can hit up to 10 targets at a range of up to 600 kilometers (372 miles) and has a response time of three to four seconds, shorter than the S-400.

The S-500 uses the 77N6-N and 77N6-N1 missiles, which can be fitted with an inert warhead capable of destroying enemy nuclear warheads with precision.

Earlier this year, the Russian Ministry of Defense released footage showing the system’s test launch at the Kapustin Yar range. It reportedly intercepted a “high-speed ballistic target” during the event.
Hawa russia hawa ni moto wa kuotea mbali hiyo nchi mungu anawaonasisi hata s-1 hatuna
 
Warusi ni mabingwa sana wa propaganda kama Korea Kaskazini tu....anyway siku ikitumika tutathibitisha hili.
Aisee wewe ni mgonjwa wa akili kabisa eti ni mabingwa wa propaganda hata iungane Nato na marekani hawamuwezi Russia watapigwa Bulava hadi wachakae
 
Hayo machuma wanayapamba mno kwa sababu za kibiashara ili wauze kwa wingi kuliko uhalisia.

Uchumi wa Urusi hauwezi kuhimili Vita na Nato.
 
Hizo silaha za s-series za Russia hazija jaribiwa kokote hivyo ufanisi wake haujulikani ila inaonekana its efficiency has been highly exaggerated for commercial milage.
 
Haya machuma si ya kuamini sana, angalau iron domes tumeona uhalisia wake kwenye vita. Kwani hapo Syria wamefunga nini? kwa sababu Israeli alikuwa anajipigia tu.
Uhalisia kwenye vita na nchi gani? Na hao wana mgambo na makombora yao ya kutengenezwa vichochoroni na bado mengine yalipenya je wangeshambuliwa na makombora ya maana ingekuaje maana jamaa wanatengeneza makombora ya be chee tu na yakapenya mengine
 
Unajua makombora waliokuwa wanatumia? kama hujui sema tukuambie.
 
Hadi uniambie kwani wewe ndo uliekua unarusha hayo makombora.......unasema kama vile hizo taarifa zimefichwa chini ya uvungu wa kitanda chako wakati kila kona zipo
 
Uhalisia kwenye vita na nchi gani? Na hao wana mgambo na makombora yao ya kutengenezwa vichochoroni na bado mengine yalipenya je wangeshambuliwa na makombora ya maana ingekuaje maana jamaa wanatengeneza makombora ya be chee tu na yakapenya mengine

Hamasi walilusha makombora 1500 ni kombora moja tu lililotua katika aridhi ya israel
 
Back
Top Bottom