Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano

View attachment 1442715
Seriously?
-1856515914-1017987634.jpg

Jr
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano

View attachment 1442715
aya wababe sisi tunawasikilizia tu nyie tunishianeni misuli mkimaliza tuambieni mmetoka ngapi ngapi
 
Wale wapuuzi waliosema Makonda alikuwa anafanya utani sijui huko walipo wana hali gani?Yaani hata wao walikuwa hawaamini kuwa yuko serious,sasa nadhani wameona kiwango cha upuuzi cha Makonda na jeshi la polisi!
 
Baada ya hii barua wabunge wote usiku wa leo watakuwa njiani kwenda kujiweka karantini dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa mnasema ooh Makonda anatekenya tu ili watu wajue mara oooh hayuko serious bali ni political game,haya sasa upuuzi ambao mlidhani hawezi kuufanya ndio anaufanya halafu yuko serious,mbaya zaidi hadi jeshi linajishusha heshima na kukubali kutumika kama toilet paper!Shame
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano

View attachment 1442715
Kwa kuwa hamna kipengele chochote cha sheria kilichovunjwa na waheshimiwa wabunge nawashauri waendelee kuji quarantine nyumbani kwa kila muheshimiwa mbunge kwani ni haki yao ya kikatiba kuhakikisha wanaepuka hatari ya kupata maradhi ya hatari
 
Back
Top Bottom