#COVID19 Baada ya Rais Museveni kukataa Wanafunzi wasirudi Shuleni upesi kutokana na UVIKO-19 Waganda wamebuni Mbinu iliyomlazimu afungue Shule

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
"Kiukweli kitendo cha Serikali kufunga Shule kwa muda mrefu ili Kuzuia Maambukizi ya UVIKO-19 kwa Wanafunzi wetu ndiyo kimeleta balaa zaidi kwani Wazazi 124 wamebaka Wanafunzi wao wa Kuzaa, Watu wa Kawaida 120 wamebaka Wanafunzi na Waathirika wa UKIMWI 200 wamebaka Wanafunzi hivyo tumeamu Kufungua Shule ili Kuwakoa Wanafunzi hawa ambao wamekaa tu Nyumbani", amesema Waziri wa Masuala ya Ustawi Uganda Bi. Sarah Meteke.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia Jioni leo.

Kweli nimeamini Wanadamu wakiamua lao hawashindwi kwani Rais Museveni alijua Kufunga Shule kwa muda mrefu nchini Uganda atakuwa anawaokoa Wanafunzi ( Watoto ) kumbe huku Nyumbani wanapokaa tu Idle ( bila kuwa na Shughuli ) ndiyo Wanabakwa, Wanatolewa Bikira, wanapewa Ujauzito na Kuambukizwa UKIMWI Jambo ambalo ni Hatari zaidi kwa Ustawi wao kama Kizazi cha baadae.
 
Huyu museven nae alishaishiwa
Hivi unaweza vipi kufunga shule muda wote huo kwa macovic (in bashites's voice) ambayo hayajulikani yatanisha lini?
Mzee alikuwa anasave hela ya elimu bure nini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom