Baada ya Rais Magufuli kutema cheche, RC Kunenge aenda Ubungo Shule ya Msingi King'ongo, apiga mkwara

Ipo shida kubwa sana katika taifa letu. Mahitaji,bajeti,kinachopelekwa ni tofauti kubwa hususani miradi ya maendeleo ni kama hisani fulani.
 
Hili jamaa linaelekea kupwaya! Vimatamko vya Bashite vilikuwa sometimes vinasevu sana. Barabara huko Temeke hazipitiki lami matobo na hayazibwi, mpaka Magufuli amshtue ndipo atembelee!!
Hali Tete Sana.
 
Watoto wanakaa chini, kwenye shule iliyo kwenye jiji kubwa, jiji la mfano, lenye uchumi mkubwa, lenye mabilinea wengi. Kama hali iko hivi dar je? Mikoani.
 
Uongozi wa mkoa wa Dar es salaam umeanza kutekeleza agizo la Rais Dkt John Magufuli alilolitoa mapem hii leo akiwa mkoani Kagera la kutaka kujengwa kwa madarasa katika shule ya msingi ya King”ongo iliyopo wilayani Ubungo jijini Dar es salaam na kuhakikisha Wanafunzi wa shule hiyo hawakai chini.

Saa chache baada ya Rais Magufuli kutoa agizo hilo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, – Aboubakar Kunenge alifika shuleni hapo na kuagiza kazi ya ujenzi kuanza mara moja.

Tayari vifaa mbalimbali kwa ajili ya ujenzi wa madarasa hayo vimekwishafikishwa katika eneo husika, na Mkuu huyo wa mkoa ameagiza kazi ya ujenzi kufanyika usiku na mchana chini ya usimamizi wake.

Ameagiza kujengwa kwa vyumba vinane vya madarasa na kubomolewa kwa vyumba vya madarasa ambavyo ni chakavu na kujengwa upya.

Mapema hii leo akizindua shule ya sekondari ya Wavulana ya Ihungo iliyopo mjini Bukoba, Rais Dkt Magufuli aliwaagiza Viongozi wa wilaya ya Ubungo, Waziri wa Elimu kuhakikisha atakaporejea jijini Dar es salaam, madarasa katika shule hiyo ya msingi ya King’ongo yawe yamekamilika na Wanafunzi hawakai chini

============

Ni utekelezaji wa maagizo na ilani ya ccm kwa kishindo kikuu,Shule ya msingi Balango ubungo Dar es Salaam ujenzi umeanza kutekelezwa kwa kishindo mchana wa leo kama agizo la Mheshimiwa na Mbeba maono yetu Rais John Pombe Magufuli

Shule ya Balango ubungo ambayo video yake ilisambazwa na wanasiasa wachache wasiotoa suluhisho hasa wa upinzani imegonga mwamba baada ya Rais Magufuli kusema ndizo video anahitaji ili kutatua matatizo ya wanyonge

Tutaendelea kutii na kusikiliza mamlaka iliyo juu yaani Jemedari wetu Rais John Pombe Magufuli kama muongozo wetu wa ccm unavyotuhitaji

Malori yaliyobeba mchanga na matofali yamefika rasmi eneo la shule ya msingi Balango yakiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Aidha kamati ya shule imeshafanya maamuzi kwa kushirikiana na walimu na ujenzi wa kuchimba msingi unaendelea

Pongezi kubwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kutekeleza ilani kwa kishindo pale tu unapopata taarifa ya tatizo

Picha nimeambatanishaView attachment 1680751

Picha nimeambatanishaView attachment 1680751View attachment 1680752View attachment 1680753

Shule kama hiyo zipo nyingi sana nchi nzima, pesa za ukarabati na ujenzi wa madarasa hakuna bali zipo za.kujenga madaraja na miradi ya Chato tu
 
Hahah hahah wapinzani wametuchelewesha sana, yaani Tanzania ni kama Hollywood bila wapinzani. Kuanzia rais hadi mjumbe wa nyumba kumi wote ni chani kiwiti, haya majengo mabovu yanafanya nini hapa Hollywood?
Hollywood ya Dar
 
RC Aboubakar Kunenge amefika katika Shule ya Msingi King'ongo wilayani Ubungo, Dar es Salaam baada ya Rais Magufuli kueleza kukerwa na wanafunzi shuleni hapo kukaa chini. Rais ameagiza atakaporejea Dar es Salaam madarasa shuleni hapo yawe yamekamilika na wanafunzi hawakai chini.

View attachment 1680653View attachment 1680654View attachment 1680655View attachment 1680656

RAIS MAGUFULI ATAKA VIONGOZI KUSHUGHULIKIA MAPUNGUFU
View attachment 1680666
- Asema, kuna Shule ya Msingi Ubungo, Dar iitwayo Barango bado Wanafunzi wanakaa chini huku madarasa mengine yakiwa yamebomoka

- Amesema atakapoenda anataka kukuta madarasa yamekamilika

Soma > Rais Magufuli awataka Viongozi kushughulikia mapungufu akisema kuna wengine bado wamelala

#JFLeo https://t.co/vC948tBDdi

Ila Kitila Mkumbo alidhalilishwa sana pale jukwaani.

Ingekuwa mimi ningejiuzulu
 
Sasa asubiri ma clip mengi sana yatatumwa kutoka shule tofauti tofauti.

Mpaka atashangaa yake mapambio yote ya kishindo cha awamu ya tano yalikuwa yanatokea wapi???
 
MAMBO YA KUFANYA KAZI KWA MATUKIO ...HIVYO TUSUBIRI PICHA NYINGINE YA SHULE IPOSTIWE ...TUVAMIE KAMA ZIMA MOTO ....? HIVI SHULE ZOTE WANAZOKAA CHINI WAKISEMA WAPOST PAATAKALIKA??
 
Watanzania ni wajinga sana yaani tunanunua ndege cash huku watoto wa shule za msingi na sekondari wakikaa chini,yaani miti yote ya tanzania watoto wanakaa chini na hayo majengo yapo km 2 kutoka mlimani university aibu kubwa hii jamani aliyetuloga amekufa
Tutajenga tu madarasa,,una wasiwasi gani?...
 
Aende na shule ya Msingi Goba watoto wanakaa darasani ila chini kwenye mchanga.

Pia Shule ya Msingi Tegeta A nayo ipo kata ya Goba watoto wanasomea chini ya mti nje, yaani Kwa kweli jimbo la Ubungo maendeleo yapo nyuma sana sana.
 
Shule nyingi zimepelekewa idadi kubwa kulinganisha na uwezo halisi.

Kuna shule nasikia wanafunzi watakuwa wanasoma kwa shift, ina maana wangeenda wote muda mmoja lazima wengine wangekaa chini ama wakasomee kivulini.
Hili swala la shift mbona liko tangia miaka ya 90's? Hoja ni wanafunzi kutengenezewa mazingira mazuri ya kusoma.
 
Back
Top Bottom