Baada ya Rais kutangazwa kuna uwezekano wa kupinga matokeo?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kwa kuwa matokeo ya Urais yameshatangazwa kuna uwezekano wa kuyakataa matokeo hayo mahakamani?
 
Kwa Tanzania "haiwezekani" kwa sababu sheria ya uchaguzi inasema matokeo ya kura za uraisi na kutangazwa mshindi kupitia Tume ya Uchaguzi HAYAPINGWI. Kwa hiyo hata kama hukushinda kihalali tume ikikutangaza kwa hapa Bongo ni "final". Pia ujue Jeshi ni la CCM pia.

Ndio maana mliambiwa mkubali matokeo.
 
View attachment 16795View attachment 16796 bunduki.jpg
 
Back
Top Bottom