Baada ya Polisi Dar Kufuatilia kifo cha Mercy Mukandara, Mumewe Edward Bukombe akili kumuua

Familia nyingi kwa sasa zinaishi hivyo...only under one roof..mengine kila mtu kivyake!
Hapo ni kulea tu watoto basi..
for how long?? bora uondoke kabisa ukaanze upya....how come mnaishi one house mnapishana kama korido za shule.....hamuwezani achaneni....
 
Familia nyingi kwa sasa zinaishi hivyo...only under one roof..mengine kila mtu kivyake!
Hapo ni kulea tu watoto basi..
ni kweli, but why sasa.....then j2 mnaongozana church........au wageni wakija mnawakaribisha.....na tabasamu....anyway kila mmoja ajipambanie
 
Mkuu,

Wanawake wa siku hizi ni wapuuzi sana, ukiona mtu kapiga mke mpaka kamuua ujue kuna jambo kubwa lilimkera,

Kwahiyo picha tu huyo mwanamke kwaharaka haraka anaonekana ni mkorofi,

Kitu kingine wanawake wa sasa wanajitengenezea mazingira ya kupigwa wao wenyewe,
Mfano
Juzi nmejisahau nkaenda kuoga na simu bafuni (ilikuwa kwenye mfuko wa suruali) ile narudi nmekaa nmetulia nashangaa shemeji yako kanikata kibao kikali sana shavuni ile nnajiuliza tatizo nini ikafuata ngumi ya jicho na kifinyo cha mbavu eti kanasema nakasaliti, sijakaa sawa kakavuta galaxy yangu A10s kakaitamiza chini, bahati nzuri ilikuwa na screenprotector ikawa imepasuka kwa juu.

Ilinibidi niokote simu, nikavaa shati nikaenda kuangalia mpira wa Yanga na JKT japokuwa sishabikiagi ili hasira ziishe nisije kuua kimasihara,

Nilivorudi nikakafukuza nikakatupia na vijikanga vyake kalivyokuwa kameviacha hapa ili kaende kasije kakaniponza.
Mkuu wewe ni mwanaume wa wapi?
 
True.. tena kamuua kwa nyundo
Ni ile chombo kubwa ya kufungulia mabomba makubwa ambayo iko adjustable hivi kulingana na ukubwa wa connector. Huyu ni ibilisi kabisa. Alienda home kuonyesha. Baada ya kumuua nayo alienda kuificha jikoni kwenye ceiling board. Nyang'au huyu ni kunyongwa mpaka kufa.
 
Dada wa kazi asimulia jinsi ilivyo tokea.

Nimemuhurumia sana huyo dada wa kazi, katoa maelezo vizuri na anastahili pole mno kwa aliyoyashuhudia kuanzia kumuona marehemu kitandani na jeraha lile kubwa alivyoliezea.
Natumaini huyu dada wa kazi atapata watu/ndugu wa kumsaidia kusaikolojia vile ana mika 19 na anaonekana ni binti mwenye huzuni kwa ndani japokuwa hakutoa hata chozi. Hili tukio atalikumbuka maisha yake yote na linaweza kumuathiri hapo baadae au sasa kwenye kufanya maamuzi yake ya maisha.
 
DAH HUYUFALAAA AANDIKE TU URITHI WATUWASIPATESHIDA KUUANA AMA KUGAIANA MBONA DADA KASHAMALIZA KAZI ILA USICHEKE NA MANENOYITE HAUA UTASIKIA HUKUMU BAADA YA MWAKA MMOKA AMA MIWILI SIJUI KUNAKUWAGA NA MAWASILIANO GAN AMA HUWA WANAMPA MDA WA KUANDIKA URITHI DAH
 
Yule Mshenzi aliemchomaaaa MKE moto akamfukiaaaa ashahukumiwa ukijuahiloo subiriaa lahuyu ucheke...
Jajimkuu juzikasema uchelewsho WA kesi zinachangia uwepowa rushwa mahakamani MTU AKIWA anakosa ushahidi UPOOO unamweka mdawote atubu ama aongozwe saka ya tobaaa

Yulembwaaaa anakulaugaliwetu mpakasasa badalaa yàkyàkumfwata mkewe
 
Mkuu,

Wanawake wa siku hizi ni wapuuzi sana, ukiona mtu kapiga mke mpaka kamuua ujue kuna jambo kubwa lilimkera,

Kwahiyo picha tu huyo mwanamke kwaharaka haraka anaonekana ni mkorofi,

Kitu kingine wanawake wa sasa wanajitengenezea mazingira ya kupigwa wao wenyewe,
Mfano
Juzi nmejisahau nkaenda kuoga na simu bafuni (ilikuwa kwenye mfuko wa suruali) ile narudi nmekaa nmetulia nashangaa shemeji yako kanikata kibao kikali sana shavuni ile nnajiuliza tatizo nini ikafuata ngumi ya jicho na kifinyo cha mbavu eti kanasema nakasaliti, sijakaa sawa kakavuta galaxy yangu A10s kakaitamiza chini, bahati nzuri ilikuwa na screenprotector ikawa imepasuka kwa juu.

Ilinibidi niokote simu, nikavaa shati nikaenda kuangalia mpira wa Yanga na JKT japokuwa sishabikiagi ili hasira ziishe nisije kuua kimasihara,

Nilivorudi nikakafukuza nikakatupia na vijikanga vyake kalivyokuwa kameviacha hapa ili kaende kasije kakaniponza.
Umenikumbusha mbali sana huo msemo wa "KUITAMIZA"
 
Back
Top Bottom