Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Nilikuwa naandika app hii inaniandikia

Opps access denied. The site your trying to reach is temporary down itakuwa kunashida kwa baadhi ya wanao tumia app

Imebidi nirudi huku kutumia sijui Google chrome
 
Mkuu wenyeji wa hapa wanasema taarifa wanazo na kila anaethubutu kuingia humo hukipata cha mtema kuni ikiwemo na kifo, mpango wa mwisho ilikuwa ni kuwatumia wanajeshi wakaichome moto kilichotokea ni simulizi yenye ukakasi. Kila mganga akiingia humo baada ya siku kadhaa ataumwa sana na kupoteza uhai. Ni nyumba iliyozungukwa na ile miti ya mazambarau.. halafu kutokana na watu kutokupakaribia kwa hiyo kuna kichaka kimeoteana hapo. Pako kama sehemu ya mizimu tu, kwa hiyo pamebaki hivyo hivyo

Jamaa watestie kombora tu hapo, au zile ndege zetu zinaweza kupasambaratisha na kombora..
 
Angefupisha

Kuna mambo mengi sana tusingeyajua, zilikuwa ni siku chache lakini zenye matukio ya mwaka mzima

Nadhani kwake jamaa zilikuwa siku ndefu na ngumu sana katika maisha yake
Sema tukiacha masihara kama jamaa angefupisha story asingekunywa uji mjue,na ile njaa tungezungumza mengine

Angefupisha simu zisingezima chaji maana zilikaa muda mrefu bila kutumiwa

Angefupisha asingelala na maiti sikutatu,pengine angekaa nayo ndani dakika 2 tu..

Pengine angefupisha mama mwenyenyumba angelala mapema sana kuliko kutoa toa macho jamaa anavyotapatapa

Afu angefupisha sanaaaa asingepitia yote haya,pengine angekuwa zake olevel anajiandaa na necta ya form 4...

Ngoja nikavute tena nakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi huku mtaani mkuu, Kuna nyumba IPO kama hyo. Kila mpangaji anaekuja hachukui hata week lazima akimbie yaani.. usiku kuna viboko utapigwa mpaka ushangae na sauti za watu wakilia, haya mambo ukimwambia mtu anaweza kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba hizo mi ndo naztafuta sana niogee.....Mkuu iko pande zip mana umaskini nmechoks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wenyeji wa hapa wanasema taarifa wanazo na kila anaethubutu kuingia humo hukipata cha mtema kuni ikiwemo na kifo, mpango wa mwisho ilikuwa ni kuwatumia wanajeshi wakaichome moto kilichotokea ni simulizi yenye ukakasi. Kila mganga akiingia humo baada ya siku kadhaa ataumwa sana na kupoteza uhai. Ni nyumba iliyozungukwa na ile miti ya mazambarau.. halafu kutokana na watu kutokupakaribia kwa hiyo kuna kichaka kimeoteana hapo. Pako kama sehemu ya mizimu tu, kwa hiyo pamebaki hivyo hivyo
Ni wapi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naandika app hii inaniandikia

Opps access denied. The site your trying to reach is temporary down itakuwa kunashida kwa baadhi ya wanao tumia app

Imebidi nirudi huku kutumia sijui Google chrome
Daa pole sana wacha tuvumilie tu.

Ila hii story ikiisha itabidi tutengeneze kikundi tukisajiri tukachukue mkopo halmashauri maana kwa huu ushirikiano tutafanikiwa

Ila joooh asiwe mwenyekiti wa kikundi asije akatupandia maharage bure members wote,afu hela akanunulia kuku na spoku,maharage yakikuwa atujie na kwanja badala ya kakisu si mnajua akishajilipuwa anakuwaga sio yeye

Nakuja ngoja nikavute tena
 
Ni kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
Nani anawasha taa mkuu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom