Baada ya njedengwa cda wajipanga kuvunja mtaa wa mwatano na mlimwa c,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
CDA wajiandaa kubomoa maeneo mawili,La kwanza MLIMWA C na MWATANO,
Mpaka sasa wananchi wa mitaa hyo wako fire vby na CDA,KWA taarifa ya kamati ya watu 5 iliyoundwa ili kuonana Na RC wamesema RC ameapa kuwaonyesha KAZI CDA,
Ila mkuu wa mkoa ameahd kufanya mkutano na wananchi hao baada ya Bunge kuisha.
Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom