Baada ya nguvu za Lowassa kuisha, uwepo wa Magufuli unabalance nguvu za familia ya JK

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Baada ya nguvu za Lowasa kumalizwa kwasasa balance ya power kwa siasa za bongo iko kati ya Magufuli na familia ya Kikwete (Membe yuko humo ndani).

Kwa kuwa nchi nyingi za kiafrika hazina desturi ya kufuata sheria na utaratibu tuliojiwekea hivyo uwepo wa hawa magiant mawili katika nchi yetu ndio unaoamua uelekeo wa siasa za nchi nchi yetu.

Upande mmoja ukipungua nguvu utasababisha upande mwingine kututawala kwa miaka mingi sana ijayo
 
Huyo Membe ni kama kobe asiyeweza kupanda juu ya mti,mpaka apandishwe! Chadema ndio wanampa uzito!
Mbona hiyo vita ni ya kwenu wenyewe mashetani wa Lumumba? Kila mkiparulana lazima muitaje Chadema, hata mkishindwa kuwatia mimba wake zenu kisingizio ni Chadema, mataahira wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom