baada ya ngumi za pua ccm yakimbilia mawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

baada ya ngumi za pua ccm yakimbilia mawe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngonini, Jan 18, 2011.

 1. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka enzi za utoto wetu ilikuwa lazima upigane ili kuonyesha na wewe umekuwa na hutaki mtu akuonee. Ishara ya kujua kuwa umeshinda ni lazima umtoe damu ya pua adui yako. Katika ugomnvi ule mtu akipokee kipigo cha kutokwa damu ya pua kitu kilichokuwa kinalinda heshima ya aliyepigwa ni kukimbilia kwenye kifusi cha mawe na kuanza kuyarusha ovyo. Wakati huo damu zinatoka hakuna wa kukutuliza unarusha mawe mpka wakubwa waje kukutuliza ndipo unakubali. Pamoja na hayo bado unabaki kuwa ndiye uliyeshindwa na aliyekutoa damu atakuwa mtemi kwako siku zote.
  Ccm hii leo imekuwa kama huyu mtoto aiiyepigwa ngumi za uso inakimbilia udini badala ya kukubali kuwa imezidiwa kisiasa na cdm ndiyo mtemi wake. Hakika walipigwa makonde makali kwenye ule uchaguzo ambao hawatakaa wasahau mpaka wanaachia uongozi wa nchii hii.
  Jaamaa wakiguswa tu sasa hivi ni udini maana wanajua wakikaa humo hamna mtu mwenye akili wa kuwafuata maana ni kama kifusi cha mawe kwa mtoto aliyetolewa damu ya pua kwenye ugomvi. Tunasibiri mkubwa aje kuwatoa ccm kwenye kifusi cha mawe maana wanarusha ovyo hatakwa wapita njia wasiokuwa na hatia kisa tu ni hasira ya kutolewa damu ya pua na wababe wao. Mwenye nguvu mpishe suboria mnyonge wako hawa ni watemi kwako hutawaweza. Huu ni ushauri wa bure kwa ccm.
   
 2. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema ni mkusanyiko wa watu waliokosa vyeo na nafasi za ulaji ndani ya ccm. Hakuna lolote! sasa hivi wanainyemelea power sharing kilema kipya cha Afrika,wasahau!!! CCM ni chama kinachotumia busara la sivyo kuna baadhi ya viongozi wa cdm walipaswa wawe selo na nchi ikaendelea kutulia kama maji ya kwenye mtungi. Ushauri umetolewa na jeshi la polisi, cdm isubiri 2015 kama wanataka kuchukua dola, la sivyo muiache chama tawala kiendelee kujenga nchi.

  GZ
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapa sio Zenji. baada ya Katiba mpya mambo yote kwisha kwa CCM. Usijifariji hivyo. Hakutakuwa na CCM milele ijayo.
   
 4. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Cdm will never share anything with chama cha mafisadi hii ni clear na ni sera ya chama. Forget it sir!
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa hawana jipya cha muhimu kwa sasa ni kukubali kushindwa!!
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  I agree with you kwamba kweli wewe ni ground zero.
   
 7. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  mi sijui Ccm hawsomi alama za nyakati kiama chao ndo kimefika hatuwapendi na mwisho wao ni 2012 uchaguzi wao ndo utawamaliza ka ulikuwepo arusha tar 5 na tar 12 utajua kuwa wananchi wameichoka ccm fanya research africa vyama vilivyoleta uhuru n vingapi bado viko madarakani? So time and generation change ndio anguko lao haijalishi ni cdm au nani ndo atatakover pple want badilko la kweli na wanaamini cdm ndo chachu ya mabadilko kwa sasa so tusiwe na idea mgando ka hao vizee vya ccm
   
 8. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alipoingia Kibaki madarakani mwaka 2002 wakenya walidhani Malaika ameshuka kutoka mbinguni. Miaka mitano baadaya 2007 yuleyule malaika alisababisha vifo vy zaid ya watu 1000. Ninyi mnaoshabikia cdm na Dr. Slaa mjifunze kwa majirani zenu. Better the devil you know than the angel you do not know

  Gz
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kama wote ni mashetani kwanini tuendelee na shetani huyohuyo tuuuuu? hivi mnafikiri CCM ni exceptional party in Africa.
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe unaota, unajua maana ya kujenga nchi wewe? au ulikuwa unamaanisha kubomoa nchi?

   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  use ur brain
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hovyo! Nahc utakuwa kama co RMKWERE basi ni JMAKAMBA. Uc2letee mawazo yako ya kilabuni. Shame on you!
   
 13. K

  Kimanzi Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe ndo wale wale. Wewe ni mpigadebe tu wa vyama vya siasa. Tanzania kwanza mengine yanufuata.
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Anza kujifunza wewe na ukoo wako wote. Hta 2lipomwngiza shemejiyo mkwere madarakan 2lmwona ni zaid ya Malaika. Kumbe hta shetwan ana afadhal.
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Shetani ni shetani tu hata akijipamba kama malaika, na hawezi kulinganishwa na malaika.

  Btw; Kibaki can not be compared to Dr. Slaa!! Kenyans politics are far diffrent from ours.

  what we see, its ccm politics looks alike kenyans politics; kenyans politics -tribalism while ccm politics - religious.
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pumba
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  I do not want any devil nor an angel I am just crying and struggling for my beloved counry by all means Freedom is coming
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kilichotokea kenya si lazima kitokee tz nani alikwambia tunataka kuiga kenya? Kenya ni kenya na tzt ni tz hatunahaja ya kuwaiga watu! Wewe kazi yako kuiga kama cmcm ni wataalami wa kukopy sera za nchi nyingine halafu hawawezi kizitekeleza. Hebu niambie ni sera gani mbovu katika serikali yetu? Lakini ni ipi imeweza kutekelezwa kwa votendo? Acha mawazo ya kudesa ndugu yangu tanznia ina watu wazuri lakini wamebanwa na mafisadi wasifanye chochote. Unataka kumlinganisha kibaki na Dr. Slaa? Wakenya ni majambazi tu hayana utu wowote huwezi kuwalinganisha na busara za watanzania. Tunamwamini dr slaa maana we feel what he talks to us. Je ulishawahi kuguswa na hotuba yoyote ya mkwere toka aingie urais? Kama ni ndiyo basi wewe ni zero kama jina lako
   
 19. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Hiyo ndiyo njia muafaka ya kudai haki. kumwaga damu is a must.
   
 20. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huo ni uwoga tu. Watu wetu wanapaswa kujua kuwa kama vile ambavyo maisha huwa hayagandi, mabadiriko pia huwa hayazuiliki.
   
Loading...