Mzee imetoka hivyoHao walikufa hawalipiwi fidia? Au ndo imetoka?
Hao ng'ombe walioshikiliwa hawakutoka nchi za nje, ni ng'ombe wa Watanzania wenzetu. Kosa ni kuingizwa katika pori la akiba la Rukwa/Lwamfi!nadhani kuwe na utaratibu mzuri wa kudhibiti ng'ombe mipakani kabla hawajaingia nchini,pia kitu alichoongea rais juzi kuhusu kutaifisha ranch waliopewa wawekezaji ambao na wao wanawakodishia wakulima nakubaliana nacho,wafugaji wetu hamna haja ya kuvusha ng'ombe nchi jirani wakati tuna ranch hazitumiki ipasavyo
350m jamaaKuna siku Mungu atatupiga kwa janga la ukosefu wa mifugo na chakula ,,,yaani uho ni uzembe na roho mbaya iliyopitiliza ,,mmewapora watu mifugo yao,,,halafu mmeenda kuwafungia kwenye zizi lisilo na chakula wala maji *****,,,,,ng'ombe 692 ni zaidi ya tsh. Ngapi sijui imepotea hapo,,,,,zaidi ya tsh. MILIONI MIA MBILI HAPO imepotea
Kumbuka,unapobadilisha matumizi ya kitu kama Ranchi umerudisha maendeleo nyuma kwa idadi ya miaka ambayo ranchi imekuwepo. Kwa nini tusiwekeze kwenye hizi ranchi kama wenzetu Wakenya na Wabotswana tukazalisha nyama bora? Huu ugawaji kiholela wa maeneo muhimu yaliyokuwa yanamilikiwa na serikali uangaliwe upya! Hii ni mali ya kila Mtanzania na siyo mali ya Makabila fulani ya wafugaji.nadhani kuwe na utaratibu mzuri wa kudhibiti ng'ombe mipakani kabla hawajaingia nchini,pia kitu alichoongea rais juzi kuhusu kutaifisha ranch waliopewa wawekezaji ambao na wao wanawakodishia wakulima nakubaliana nacho,wafugaji wetu hamna haja ya kuvusha ng'ombe nchi jirani wakati tuna ranch hazitumiki ipasavyo
Hapo me nimekadiria kwa kadilio la chini tu ,,,najua inafika mpaka kiasi Iko ulichosema Mkuu, ,,,,,,kuna mijitu ***** zao wana roho za ajabu sana kwa watanzania wenzio350m jamaa
Halafu mbaya mahakama waliamuru warudishiwe je wakifungua kesi ya madaiHapo me nimekadiria kwa kadilio la chini tu ,,,najua inafika mpaka kiasi Iko ulichosema Mkuu, ,,,,,,kuna mijitu ***** zao wana roho za ajabu sana kwa watanzania wenzio
nadhani kuwe na utaratibu mzuri wa kudhibiti ng'ombe mipakani kabla hawajaingia nchini,pia kitu alichoongea rais juzi kuhusu kutaifisha ranch waliopewa wawekezaji ambao na wao wanawakodishia wakulima nakubaliana nacho,wafugaji wetu hamna haja ya kuvusha ng'ombe nchi jirani wakati tuna ranch hazitumiki ipasavyo
Kilicho kufa hakichinjwiWaliokufa wachinjeni.
Muwale nyama.
Kinafanyajwe?Kilicho kufa hakichinjwi