Baada ya NEC kumtawaza Dr. Slaa, Obama kumshinikiza JK kuachia ngazi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya NEC kumtawaza Dr. Slaa, Obama kumshinikiza JK kuachia ngazi.....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Kwa utafiti wangu nimebaini Marekani inazo taarifa ya kuwa JK yu hoi na huenda akatafuta namna za kubaki madarakani isivyo halali na kinyume na sheria lakini Obama tayari amejiandaa kumshinikiza JK kuachia ngazi mara tu NEC itakapomtawaza Dr. Slaa kuwa Raisi wetu wa tano...

  Hili kidogo ni la kushangaza kwa sababu JK katika kampeni zake amekuwa akijigamba juu ya uhusiano wake wa karibu na tawala za marekani lakini hawaelewi wamarekani hao kabisa kwani hawana cha urafiki inapokuja kusimamia misingi ya demokrasia.

  Ukibwaga na wapigakura wanakuhama maramoja mithili ya radi vile...................
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kaka naomba namba ya obama ninashida nae nadhani atakuwa mtu wako wa karibu sana plz pm namba yake.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Source ya taarifa otherwise ni Udaku
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Rafiki hii spidi unayoendelea nayo itabidi tukuweke kwene ignore list kama Malaria Sugu.
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Ha ha ha ha! umempa ushauri mzuri.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Uzandiki na uchochezi kama huu ndio unatufanya baadhi yetu tuunge mkono kauli ya Jeshi la wananchi wa Tanzania kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kwamba atakayeleta fujo baada ya uchaguzi atashughulikiwa vilivyo.

  haiingii akilini kutoa kauli kama hizi kabla ya kupiga kura kwamba tuamini kuwa Dr slaa ni lazima ashinde. hata wamarekani na demokrasia yao hawawezi kufanya hivyo kabla ya maamuzi ya wananchi juu ya nani wanamtaka kuwa kiongozi wao.

  Demokrasia si kuharibu au kuingilia mchakato. Wanachoweza kusema wamarekani hadi sasa ni kutushauri kuendesha uchaguzi huru na haki na kwamba watakuwa tayari kushirikiana na kiongozi yeyote atakayechaguliwa bila kutaja jina la mgombea yeyote wala chama anachotoka.
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wakati mwingine udaki kama huu unaweza kuharibu mambo badala ya kufikiri utamsaidia mgombea wako. Nani kasema Marekani iko juu ya maamuzi ya wapiga kura wa Tanzania? Wakati huu ni wa kuomba kwa Mungu (sio kuomba kwa Marekani) uchaguzi uwe huru na haki bila vurugu wala ghasia.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Yes the Americans have no permanent friends or enemies can always change.
   
 9. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kaka .... mbona una vituko sana, mbavu zangu Lol!1
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hamna uchochezi hapa .NI Tetesi tu na inawezekana ikwa hivyo. Tatizo ni kwamba ulikuja huku kutetea your dying CCM . Hujaona hata dalili kuwa mmshindwa?
   
 11. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,810
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  Yamekuwa hayo, Yanamhusu nini Jaluo. Sina shaku huu ni udaku of the grossest kind! Pls get hold of your self!
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,649
  Likes Received: 4,750
  Trophy Points: 280
  Chama cha mafisadi kwa woga, jamaa kawatania kidogo tu mnahaha, ila lisemwalo...............
   
 13. B

  Boca1 Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rutashubanyuma. Mbona kama umeanza kurudi nyuma vile! OTALISHUBANYUMA
   
 14. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu umejuaje kama Obama amejiandaa kumshinikiza JK kuachia ngazi baada ya NEC kumtangaza as mshindi. JF ni balaa, tangu Rahm Emanuel aachie ngazi basi Obama amekuwa very accessible.
   
Loading...