Wakuu nawasalimu sana.
Hoja kubwa ni zile tambo kati ya Tanzania na Kenya , ni wazi sasa kenya wako mbali kwa kila kitu hapa afrika mashariki kuanzia thamani ya pesa yao na hata bajeti juzi imewafunga mdomo watanzania karibu wote sasa ligi zimekufa.