Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Japo sikukaa South kwa siku nyingi, ila ile picha niliyoiona pale Johannesburg na Pretoria inaonesha kuwa majengo mengi ni mazee na yalijengwa kabla ya mwaka 94.
Ukipita Johannesburg au Pretoria construction site ni vitu adimu sana.
Hii inaonesha kuwa Wasouth weusi wameshindwa kuipaisha nchi yao kiuchumi baada ya mtu mweupe kupunguza nguvu ya kuinvest South....
Kama hali ikiendelea hivi, siku za usoni, South itakuja kupigwa gepu sana la miundo mbinu na nchi kama Tanzania na Kenya ambazo zinajikita zaidi kaitika eneo hilo la infrastructure development...