mwasita
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 369
- 366
Haionekani mkuu.Mkuu vp kwenye salary slip ukimaliza ule mkopo wa kawaida retention haionekani au manake hata mimi nna mpango deni likiisha kwenye salary slip nikae zangu kimya labda rais ajaye atakuja kutuokoa na huu wizi.
Labda kama ukitaka ionekane inabidi umwambie mwajiri wako aiingize.
Kwa maelezo yao retention fee inachajiwa kwenye principal amount.Comment no.100, hiyo retention fee inachajiwa kwenye principal amount kwa reducing formular au inasalia hivyo hivyo?
Pili hii retention inachajiwa before hujaanza kulipa au kwa kipindi chote utakachokuwa unalipa?
Na inachajiwa katika kipindi chote kuanzia kipindi hujaanza kulipa mpaka utakapoanza kulipia na kuendelea hadi pale itakapoisha kulipwa hiyo principal amount!