Baada ya Muhongo,February ashughulikiwe Nyalandu

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Tunawapongeza wabunge kwa kuongozwa na kamati ya PAC kushughulika na viongozi walevi wa madaraka wa Wizara ya Nishati na Madini na hivyo kuleta ahueni kubwa kwa Taifa;lakini wabunge wafahamu kazi haijesha,bado yupo Waziri Nyalandu ambae inaelekea hata hatambui itifaki ya kufanya kazi za umma na hivyo anajiendea tu,natoa wito kwa Watanzania na Wabunge kuwa kuanzia sasa hadi kikao cha bunge la February,tuna kazi moja tu nayo ni kumbana Nyalandu ili arudi kwenye mstari na ajitambue kuwa yeye ni kiongozi wa Umma na wala si dalali aliyepo pale maliasili kufuja maliasili zetu,ALLUTA CONTINUA
 
Back
Top Bottom