adau Wana MMU,
Taarifa ziwapatiziazo ni hivi,kwamba mwanaJF mwenzenu Fabinyo, leo 10/10/12 saa 2300hrs nimejaliwa kupata mtoto wa kiume.
Tuungane pamoja kunipongeza na mke wangu mama Nameles,pliz!asanteni
adau Wana MMU,
Taarifa ziwapatiziazo ni hivi,kwamba mwanaJF mwenzenu Fabinyo, leo 10/10/12 saa 2300hrs nimejaliwa kupata mtoto wa kiume.
Tuungane pamoja kunipongeza na mke wangu mama Nameles,pliz!asanteni
gamba halikai kwangu nitalitoaje nduki ha ha haaa Ahsante sanaAngel mbona kimya kimya au hutaki wadowezi wa mtorisasa umekwisha kuanzia jmosi kila asubuhi natia timu kusalimia mpwa...hongereni zenu kwa kuongeza makamanda naamini hawatakuwa magamba
Duh, we binti bila kunitaja siku yako haiwi nzuri.....LOL
Ni kweli kabisa huu ni mwaka wa madume, nilikuwa naongea na daktari mmoja wodi ya wazazi pale Amana akaniambia kwamba kwa takwimu za haraka haraka watoto waliozaliwa tangu mwaka huu uanze, idadi ya wanaume ni kubwa ukilinganisha na wanawake, wakati miaka ya nyuma watoto wa kike ndio waliokuwa wakiongoza kwa kuzaliwa....
Hongera fabinyo kwa kupata mtoto wa kiume, Hongera na mama Fabinyo pia kwa kutuletea kidume....
Awadhi2009 kama comment yako ni hiyo bora usiitoe maana inakera
Hongera fabinyo. Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na ampe makuzi yenye baraka. Mpe pia hongera mama kwa kulea ujauzito huo na kujifungua salama.