Baada ya Mtambuzi ni mimi,nimepata Baby Boy leo!nigongewe like za kutosha

Waaaaoo!!! Hongera sana mkuu@fabinyo kwa kupata baby boy..Pongezi pia ziende kwa mwanamke aliyembeba huyo kiumbe kwa miezi yote hiyo.
Mumpe malezi bora.
 
Una hakika ni wa kwako chukua sample kacheck dna halafu urudi kutupa majibu
 
Awadhi2009 kama comment yako ni hiyo bora usiitoe maana inakera
Hongera fabinyo. Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na ampe makuzi yenye baraka. Mpe pia hongera mama kwa kulea ujauzito huo na kujifungua salama.
 
Last edited by a moderator:
adau Wana MMU,Taarifa ziwapatiziazo ni hivi,kwamba mwanaJF mwenzenu Fabinyo, leo 10/10/12 saa 2300hrs nimejaliwa kupata mtoto wa kiume.Tuungane pamoja kunipongeza na mke wangu mama Nameles,pliz!asanteni
Hongera kwa kulenga vizuri
 
Kabla ya Mtambuzi pia mimi nilipata baby boy.........,Nakupongeza sana kwa kuongeza nguvu kazi ya Taifa..,Mlee katika maadili ya Mungu
 
Kabla ya Mtambuzi pia mimi nilipata baby boy.........,Nakupongeza sana kwa kuongeza nguvu kazi ya Taifa..,Mlee katika maadili ya Mungu

Angel mbona kimya kimya au hutaki wadowezi wa mtorisasa umekwisha kuanzia jmosi kila asubuhi natia timu kusalimia mpwa...hongereni zenu kwa kuongeza makamanda naamini hawatakuwa magamba
 
adau Wana MMU,
Taarifa ziwapatiziazo ni hivi,kwamba mwanaJF mwenzenu Fabinyo, leo 10/10/12 saa 2300hrs nimejaliwa kupata mtoto wa kiume.

Tuungane pamoja kunipongeza na mke wangu mama Nameles,pliz!asanteni

hongera fabinyo,mleeni mtoto vizuri eeh!tunamkaribisha mgeni ktk ulimwengu huu wa mapambano!kila jema kwa mtoto na Mungu ambariki kijana wetu!
 
hongera fabinyo ,hongera sana!hala hala lakini mtoto atembee huyo,muone Mtambuzi kwa dawa nilizompa jana sa hizi anajipakulia tu bila wasiwasi!naona wiki ya ma baby boys hii!HONGERA SANA kaka!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom