Baada ya msuto wa Bishanga jana.....leo ni Kiduku kwa kwenda mbele

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.....

Yaani mie ODM huyu huyu mzee wa mapozi??
image003.jpg


Kinachonishangaza eti cacico, Yummy, BADILI TABIA, Zinduna wanakubaliana na huu uzushi wa Erickb52. Hommie Kaizer, unaweza kuwafahamisha hawa wazushi hii picha hapa chini ulinipiga nikiwa wapi?

image001.jpg


Na hapo ni kabla sijajiunga na commedy
image014.jpg


Ila kwa sasa ndo nshazeeka tena lakini bado wamo kiaina, si eti Kongosho?

image006.jpg


Kama mnabisha, muulizeni mzee mwenzangu Bishanga hapo chini..


image013.jpg


Au Homeboy wangu Kaizer, shabiki namba moja wa Yanga.

image002.jpg


Mod Roulette, naomba umwambie huyu kijana anitake radhi. Akikataa mpige ban au niruhusu nibandike zile picha zake nlizomdungua akioga choo cha pasipoti saizi kule Mwananyamala kwa Kopa.
 
Last edited by a moderator:


weeeeeeeeeee acha kumsingizia sweetpoteto wangu, ni portable, nambeba mgongoni.... Asprin mpenzi usisikilize majungu ya Erickb52
Atanitaka? Au anakuona BADILI TABIA hauko selective eh? Yaani kfaa kama hiki kichukuliwe na huumdubwashika?

attachment.php
attachment.php



Hebu waambie watuangalie kwa makini afu waache kuchonga sana.....

Nadhani Erickb52, cacico na Yummy sasa watakuwa wanameza viwembe
article-0-12C7F709000005DC-798_634x773.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hebu waambie watuangalie kwa makini afu waache kuchonga sana.....

Nadhani Erickb52, cacico na Yummy sasa watakuwa wanameza viwembe
article-0-12C7F709000005DC-798_634x773.jpg
Asprin mpendwa goodmornig, mzima weye! mwenyewe nimekubali! kwa kweli upo juu and very selective, ni Erickb52 alinipotosha lol, nikajua we ndio hilo pipa hapo juu kha! kumbe enzi zako ulikuwa comedian? lol
 
Last edited by a moderator:
Kwani siku hizi umebadilika sana? Nakuona hapo umepiga pozi na Mentor na Katavi.

attachment.php

Babu ya kipenzi Asprin...wahenga wanasema, "Like father like son" na "Mtoto wa nyoka ni nyoka"...nadhani ujumbe umeupata..I can only be as handsome as my father is, and as his father was...lol!
Angalia usijekuwa unajiacha na wewe uchi!
 
Last edited by a moderator:
Hapo bold...Umejuaje mpenzi wangu mpya cacico
si umesema mwenyewe hapo juu kuwa ulikuwa comedian? tena umeweka na picha kabisaaaa, mupenzi mupya Asprin hizo ndizo side effects za kunywa bingwa, kila nikikukanya husikii, na hii tabia umetoka nayo hukooooooo kwa Kongosho, ukija kwangu pulizzzzz jaribu kuwa na kumbukumbu! nisijekuwa mchagga mwizi bila vitendo, ebo!
 
Last edited by a moderator:
Naenda kusema kwa bibi..kusemaaaa...Nikitoka job naenda kumwambia bibi...
Mentor una hamu ya kusutwa naona! nimuite Zinduna?? hebu kuwa na kifua mtoto wa kiume, we si nilikuita pm ukaringa, sa muache mwenzio anilee mie ebo!
 
Last edited by a moderator:
si umesema mwenyewe hapo juu kuwa ulikuwa comedian? tena umeweka na picha kabisaaaa, mupenzi mupya Asprin hizo ndizo side effects za kunywa bingwa, kila nikikukanya husikii, na hii tabia umetoka nayo hukooooooo kwa Kongosho, ukija kwangu pulizzzzz jaribu kuwa na kumbukumbu! nisijekuwa mchagga mwizi bila vitendo, ebo!
Usijali laazizi mupya cacico, kwako wewe ni Full burudani, kubembeleza na kujali. Hili pozi nlilopiga wakati tunapiga picha ya Christmass unalionaje? Najua kina Yummy na gfsonwin watakuwa wanatuonea wivu. Chezeya Carpet letu la malovee tokea Sudan ya Kusini?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom