Baada ya Mkoa wetu wa Kigoma kutoa kiongozi ngazi ya Makamu wa Rais, sisi wana ACT pamoja na kiongozi wetu Zitto kabwe,tunaweka silaha chini

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,959
20,529
Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.

Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.

ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
 
ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha
Chama cha waha kile Cha wachaga naona mama anawapeleka puta walidhani watamnyanyasa kisa mwanamke Sasa wanayaona wao

USSR
 
Wana Chigomasasa mpiganie keki Taifa ifike huko....mfungue mkoa wenu iwe hub ya businesses kama Mwanza na Arusha....mjipange muache maubishi
 
Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.

Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.

ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
Halafu kaanzia ziara yake ya kwanza “muhira” kabla hajaenda kwa “banyamahanga” wengine.

Mungu amjalie busara katika anachokifanya. Kaja na staili ya kuwahoji watendaji pale pale kwenye tukio kama RIP JPM.
 
Wana Chigomasasa mpiganie keki Taifa ifike huko....mfungue mkoa wenu iwe hub ya businesses kama Mwanza na Arusha....mjipange muache maubishi
Muha mmoja anabishana na behewa zima kutoka Dodoma mpaka Kigoma halafu akishuka kutoka kwenye treni anamsikia mtangazaji wa radio akisema kile kile kilichosemwa na wote aliowabishia safari nzima.
 
Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.

Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.

ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
Mistake Zitto afanye Kama Chadema wanavyofanya. Zitoo ni mtu mtulivu na siasa zake za kistaarabu, tofauti na Chadema. Hamna sehemu Zitto kasema ameacha kuikosoa serikari au ana give up.. kiss umakam wa rais.. mtoa mada una hangaika kuona ni Chadema peke yenu mna siasa za vurugu.
 
Back
Top Bottom