Baada ya mjumuisho wa matokeo sasa ni wazi Mbatia alikuwa akiidhoofisha NCCR Magauzi

Bila Mbatia ushindi mnono wa 62% usingepatikana ... Magufuli anajua kuwa yeye ni Rais wa wakatoliki si watanzania ... Lowassa ni Rais wa watanzania ... Dunia inajua na watanzania wanajua kuwa CCM ni wezi ...

MAGUFULI...na udini wapi na wapi mkuu????
 
Bila Mbatia ushindi mnono wa 62% usingepatikana ... Magufuli anajua kuwa yeye ni Rais wa wakatoliki si watanzania ... Lowassa ni Rais wa watanzania ... Dunia inajua na watanzania wanajua kuwa CCM ni wezi ...
Mkuu tumekesha tukipambana ili Lowassa ashinde bila kujali kuwa hakuwa Mkatoliki mwenzeu,leo hii imekuwa Magufuri ni rais wa sisi wakatoliki?Acha ungese mkuu!
 
Jamani wakuu muwe waelewa na muwe wakweli wakati mwingine..je wabunge wa nccr walikuwa wanatoka mkoa gani??..je aina ya watu wa mkoa huo wakoje??..huwezi kumlaumu mbatia hata angeenda kuwalamba watu wa KG..wale ni watu vigeugeu mno..hawaaminiki..ref..kaburu..zito mwenyewe..angalia walivyompa magufuli kura..huko ni unafiki mtupu umejaa..kama wabunge wangekuwa ni wa mikoa mbalimbali..tungemlaumu mbatia..lkn kwa kigoma tutadanganyana!!!

Unajua kama hii isue ingeibuka baada ya matokeo licha ya kua ni ngumu huenda ningejitahidi kukuelewa,mbatia alitahadharishwa mapema ila kiburi kilimjaa,hizi habar kwamba watu wa kigoma ni vigeugeu haya ni mawazo yako binafsi
 
Silioni kosa la mbatia since wananchi ndo wameamua kutoichagua nccr katika majimbo yao. Ila kama chadema wakiwa wastaarabu wakafanya kama makubaliano yao yalivyo basi nccr itakuwa na hela ya kutosha ambayo itaimarisha chama.
 
Kiongozi ni kuonesha njia,kwa matokeo ya namna hii ni vema ukakaa pembeni kuwapa fursa na wengine huenda wakaweza kukitoa chama hapo kilipo na kukipeleka mbele,
Muelekeo huu si mzuri na kama kusipokua na mipango madhubuti yatamkuta ya Mrema,atabaki pekeyake na mwisho wa siku NCCR mageuzi watafutika kabisa bungeni
 
Unajua kama hii isue ingeibuka baada ya matokeo licha ya kua ni ngumu huenda ningejitahidi kukuelewa,mbatia alitahadharishwa mapema ila kiburi kilimjaa,hizi habar kwamba watu wa kigoma ni vigeugeu haya ni mawazo yako binafsi

Sasa nccr imepata faida gani kutokana na muungano huo? ameingia mtafaruku mkubwa na viongozi wenzake ndani ya nccr, na kweli ataendelea kubaki peke yake na chama chake.
 
Bila Mbatia ushindi mnono wa 62% usingepatikana ... Magufuli anajua kuwa yeye ni Rais wa wakatoliki si watanzania ... Lowassa ni Rais wa watanzania ... Dunia inajua na watanzania wanajua kuwa CCM ni wezi ...

Lowasa ni wa Waluteriii na Wachaga....mwaka huu dawa imewaingia kweli tumewagundua
 
Mkatoliki tu huyo ... Hata PM atakuwa Mkatoliki Same kwa AG Masaju ... Haya Mambo aliyafanya Nyerere Enzi hizo ... Gavana Nyirabu, CDF Msuguri, AG alikuwa Warioba, Msuya et al ... Nchi hii ya wakatoliki ... Mnajifanya kufumbia macho ujinga ?
acha udini maguli amechaguliwa na dini zote
 
Jamani wakuu muwe waelewa na muwe wakweli wakati mwingine..je wabunge wa nccr walikuwa wanatoka mkoa gani??..je aina ya watu wa mkoa huo wakoje??..huwezi kumlaumu mbatia hata angeenda kuwalamba watu wa KG..wale ni watu vigeugeu mno..hawaaminiki..ref..kaburu..zito mwenyewe..angalia walivyompa magufuli kura..huko ni unafiki mtupu umejaa..kama wabunge wangekuwa ni wa mikoa mbalimbali..tungemlaumu mbatia..lkn kwa kigoma tutadanganyana!!!
Ki-ukweli hata miaka baada ya miaka 5 au kumi ijayo, kukatokea aina ya UKAWA yaani muungano wa vyama vyote vya UPINZANI halafu wakamteua MBATIA kuwa mgombea, hatafaa kwa kuwa hana vision ya kuongoza chama chake mwenyewe. KAKIUA KWA TAMAA YAKE YA MADARAKA NA UZANDIKI. Suala la wana KIGOMA, mtuachie sisi. Kwetu hatuna mahaba na U-SISI (u-chama, u-kanda. Tunaangalia maslahi yetu wanaKG kwa kumchangua mtu anayetufaa. Ukikosea out! KWA HILI MBATIA AMEFELI. MBONA UKITOA KIGOMA, HAKUNA MBUNGE MWINGINE WA NCCR? Kwani haikusimamisha wagombea wengine?? Imekuwaje?
 
Mbatia ni mbinafsi sana badala ya kupambana na chama chake akaolewa na wachaga wenzake

Faida ya kuendekeza U-SISI. Sasa anaugulia ndani kwa ndani. Nampongea Profesa Lipumba. Kutoka CUF kumeinyanyua juu juu. Ni matunda aliyopanda. Fikra zake zinaendelea....
 
Bila Mbatia ushindi mnono wa 62% usingepatikana ... Magufuli anajua kuwa yeye ni Rais wa wakatoliki si watanzania ... Lowassa ni Rais wa watanzania ... Dunia inajua na watanzania wanajua kuwa CCM ni wezi ...

nyumbu wewe! wewe ni m KKKT!?
 
km hujui jambo usianzishe uzi ili uonekane na ww unajua...wabunge wa Nccr mageuzi wote walitokea mkoa wa kigoma...baada ya bunge kumaliza muda wake wa miaka mitano wote wanatakiwa kutetea viti hivyo but Mosses Machali akahama chama na kujiunga na ACT...hata hivyo kutokana na wana kgm kutopendana yakaibuka makundi miongoni mwao...kilichotokea wabunge wote wakashindwa aidha kwa figisi figisi za chama cha kijani na vilevile kwa mamluki waliojipandikizia wao wenyewe...mfano jimbo la Mkosamali mtu na nduguye walikuwa wanafanyiana ubabe mmoja act na mwingine nccr....jimbo la kgm kusini kwa kafulila ni fitna na ubabe tu hapo zilitumika...so mbatia anaingiaje hapo?

Ulifaulu sana chekechea,hivi huo mfano na maelezo yako umetoa wapi,kwa hyo NCCR ilikuwa na mkataba na hao wabunge waliomaliza muda wao,chama hakikuwa na watu wengine,amka umelala sana
 
juz nilipishana na kafulila alikua an anaenda mahakaman vu ten subira
 
Vipi kuhusu TLP, UDP, CHAUMA,CCK N.K nao wenye viti wao walikuwa busy na Lowasa? Ina maana NCCR sio Taasisi kiasi kwamba asipokuwepo Mwenyekiti chama hakiendi mbele? Katibu Mkuu, Makamo mwenyekiti, baraza Kuu na Kamati kuu ni vilaza, hawana uwezo, hawana kazi? Mbona CDM kaondoka kabisa kwenye Chama katibu Mkuu ambaye nditye alikuwa injini muhimu sana kwenye chama na bado chama kimesogea mbele.
Tatizo sio Mbati kuwa busy a UKAWA bali chama kilikosa Strategic plan toka mwanzoni hakuna ziara zozote walizofanya kujitangaza na kuimarisha chama kwenye majimbo yao.
CHADEMA/CUF wenyewe wamenusurika kutokana na nguvu mpya ya Lowasa aliyokuja nayo otherwise angesimama Slaa au Lipumba tungepigwa vibaya mno. Maana ngome za CHADEMA pale kanda ya Ziwa zingepotea kama zilivypopotea Sababu wasukuma na kanda ya Ziwa wameamua kupiga KURA za ukabila kumsapoti mtu wa kwao MGFL. Majimbo ya Umasaini tusingeyapata
 
Muwekeni na PM awe Mkatoliki ... Kigango cha Bakwata kilisema kuwa Rais hatoki Kaskazini .... Wakatoliki ni watiifu kwa wazungu ... endeleeni kugawa madini yote huku mkitegemea misaada ya kanisa ,.... CCM Oyeee .... Wakatoliki juu
Lowasa ni wa Waluteriii na Wachaga....mwaka huu dawa imewaingia kweli tumewagundua
 
Back
Top Bottom