prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Naomba kukaribishwa upya katika jukwaa hili maana nilistop kwanza kutokana na matatizo ya mie na my ex wangu sasa nipo mbioni kupata mwingine hasa ktk jukwaa hili naomba kukaribishwa

Mpendwa; kwanza lipa fini ya kumtosa bibiye!! Tzs.100,000- !! afu ndo welcom again.
karibu mkuu.safari hii kuwa makin usije ukabwagwa tena....
Karibu tena mkuu,, pole hayo ni mapito...
Weka basi wasifu wako tukujue bila kusahau mali unazo miliki.. who knows everything is possible.

My dia wanyumbani; bila kuomba dau limezidi Tza. 200,000- haki yako!! first day of the year....hiyo faina naomba nipokee mimi mkuu
hahahahaha umenifurahisha hapo kwenye mali