Baada ya miezi kadhaa ya machungu ya talaka

Huna haja ya kwenda mbio kumpata mwingine nafikiri kuna haja ya kutulia kidogo kucheki upepo unakwendaje. Huku pia si salama sana
 
Naomba kukaribishwa upya katika jukwaa hili maana nilistop kwanza kutokana na matatizo ya mie na my ex wangu sasa nipo mbioni kupata mwingine hasa ktk jukwaa hili naomba kukaribishwa

Mpendwa; kwanza lipa fini ya kumtosa bibiye!! Tzs.100,000- !! afu ndo welcom again.
 
Pole. Unataka ugonjwa wa moyo kupitia mapenzi ya mitandaoni? Tena wakijua una tatizo watakuja kwa kasi maana uko desparate looking for one. Tulia na omba Mungu na jipe nafasi ya kutafakari maisha na unachokitaka.
 
Karibu tena mkuu,, pole hayo ni mapito...
Weka basi wasifu wako tukujue bila kusahau mali unazo miliki.. who knows everything is possible.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom