Baada ya miaka michache, Dar es Salaam vs Mwanza

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
Habarini
Ngoja niende kwenye maono yangu.....

Kwakuwa serikali inahamia Dodoma, inamaana kuwa nguvu ya jiji pendwa DSM inapungua kwa maana shughuli, ofisi, wizara zinahamia Dodoma.

Pia endapo suala la kugenga reli ya kisasa Dsm- mwanza inamaana huduma nyingi sana zitkuwa zinapatikana nwanza kama dsm

Huku wakati jiji la Dsm likipungukiwa nguvu, jiji la mwanza linazidi kukua kwa kasi.... maana ndo litakuwa hub au jiji la kibiashara East Africa.

Nchi jirani wanaotegemea bandari za Tanzania watachukulia mwanza bidhaa zao kwa kusafirishwa na reli ya kisasa from dsm.

Pia uwanza wa ndege wa kisasa unajengwa ksa ushirikiano na nchi ya oman... hivyo basi watu tuine hizo fursa ambazo zipo mwanza and tuzithmie effectively

Baada ya muda tutakuwa na majiji makuu 2 yenye ushindani ya kibiashara

Nawasirisha
 
Umesahau kuweka point moja kubwa zaidi... Rais wa Mwanza ambaye anaishi Dar amewaahidi watu wake nyumba zao hazitabomolewa na atalijenga jiji hilo liwe la kibiashara kwa kodi za watu wa Kimara
 
Back
Top Bottom