Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Mara ngapi kaupigia kelele huo ubambikaji? Wangapi wameachiwa hadi leo since kaingia madarakani kwa kesi hizo za hovyo? Kesi ya mbowe isitufanye tuwe wapofu, kama hana makosa ataachiwa. Kuhusu suala la katiba CDM waende mahakamani, nashangaa wanalalamika tu humu mitandaoni, why wasiende mahakamani? Kama Mtikila aliweza, wao wanashindwa nini??Kuruhusu ubambikaji na kuushabikia . Pili kuikakana katiba ya wananchi aliyoichea yeye. Au niongeze ?!