Baada ya miaka 50 ya uhuru

Najibu swali laki "NDIYO"
Ulitaka hapo ulipopiga hiyo picha kuwe na ghorofa???
 
Si ni bora hapo ni kijijini mkuu kuna baadhi ya miji hapa tz ina nyumba kama na hii ya miaka50 naona kama wamehesabu vibaya naona kama ni miaka mi5 wamesahau
 
Mmmh jamani,the country so called Tzbonzar is devided in to several dimension,Premitive-countryside,Agrarian-rural,premodern-sub -ub,modern-towns and postmodern -cities then angalia sehemu kubwa ya nchi hiko part gani ndo utajua miaka 50 au cku 365?
 
Miaka 50 ya uhuru ndani ya nchi yenye utajiri mkubwa,amani na utulivu mama yangu kule Bujugo hana maji ya bomba
 
Mkuu na huko ni Tanganyika kwani naona kama umepotea siyo Uganda huko?
 
tanzania tanzania tanzania
.......................................
........................................
watanzania wanaaangamia
 
Najibu swali laki "NDIYO"
Ulitaka hapo ulipopiga hiyo picha kuwe na ghorofa???
crap.gif
 
hii ndiyo TZ nasasa sherehe za kuazimisha miaka 50 zinaendelea sehemu mbalimbali nchini TZ
 
mwisho wa siku huyo huyo utamuona amevaa nguo za kijani yaani anajifunika hadi mbele haoni na pilau juu
 
Back
Top Bottom