Baada ya miaka 5 au kumi Foleni ya dar-salaam katikati ya mji itakuaje.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya miaka 5 au kumi Foleni ya dar-salaam katikati ya mji itakuaje....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asterisk, Jul 4, 2012.

 1. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini foleni itaanzia mlangoni kwako, unafungua tu mlango unakutana na foleni, Real inabore sana mpaka mtu unachukia gari na kutamani boda boda...

  Enyi viongozi wetu, kuweni na mpango mkakati juu ya hili.
   
 2. D

  Daniel poul Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja hayo mabasi yaendayo kwa kasi,izo barabara c ndio zatengenezwa zikiiisha kama vp tuache private car nyumbani tupande mabasi ya kasi yatakayokuja .
   
Loading...