Baada ya Mhingo sasa Balile njia panda Rai

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Bwana Balile watu husema mwenzio akinyolewa wewe tia maji .Nilikutabiria kwamba utagota siku moja maan nilijua kwamba una andaliwa exit pass.Nikakuuliza kwamnba utaweza kufanya kazi wapi kama mwandishi ? Baada ya kunuka na unakimbiwa kila kona ya Jiji kwa upuuzi wako wa machapisho kutoka Monduli ma kushiriki katika harakati za ufisadi you are now feeling the heat .Najua si baada ya muda utaondoka hapo niko nakumulika kwamba utaenbda wapi maana kila kona umesha paka kinyesi na wanuka kupindukia .Kuna watu wenye nguvu kama Mhingo na very smart than wewe walitolewa baruti hata baada ya kuwasaidia sana wana mtandao lakini leo wako mtaani , wewe ulidhani utaweza spinning ? Najua siku zako sasa zinahesabika na nangoja kuona uta andikia wapi maana umepelekea hata gazeti la rai haliaminiki na halinunuliki tena .

Njoo unijibu hapa hapa maana najua unashinda hapa unasoma .
 
hahahahaha safari moja huanzisha nyingine


njooo balile tukuone tambo zako
 
Back
Top Bottom