Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,063
Sijui nani huwa anabariki huu upuuzi .
Acheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?View attachment 1374606View attachment 1374607View attachment 1374608
Sijui nani huwa anabariki huu upuuzi .
Kwenda zako kiaz tu weAcheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?
Hizo wanapokea machangudoa wa CCM!🤣Acheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?
View attachment 1374606View attachment 1374607View attachment 1374608
Sijui nani huwa anabariki huu upuuzi .
Takukuru waanze na sabaya kwanza alienda kudai rushwa kwenye hotel na vidioushahido upo then ndio waelekee kwengne.Utaratibu wa kukamatisha hongo unajulikana ,kwanini asingeandaa takukuru?,aache upumbavu wake
Kweli CCM inapendwa ,Mameya wote wa Upinzani wataondoka kama Isaya Mwita ni kuundiwa ZENGWE TUView attachment 1374606View attachment 1374607View attachment 1374608
Sijui nani huwa anabariki huu upuuzi .
Unakuwaga kama shetani hivi...Juzi Makonda na team yake walienda Mbeya kumhonga Joseph Silinde na milioni 20 akazikataa ...au mnataka tulete ushahidi.Acheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?
Unavyojua ni Tsh ngap ?
Waende hao CCM WENYE KUMTOA MADARAKANI KWA TUHUMA .Utaratibu wa kukamatisha hongo unajulikana ,kwanini asingeandaa takukuru?,aache upumbavu wake
Haswaaa ata laki tano angekubali, watu wanajua kujikweza milioni200, apewe kimbe kwa lipi? 😂😂Acheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?
Taarifa zote za Wawindaji haramu tunazo
Hapo sasa!Utaratibu wa kukamatisha hongo unajulikana ,kwanini asingeandaa takukuru?,aache upumbavu wake
Takohuru lipi unaloliongelea? Wale walioshindwa kufanyia kazi video clip za Mnyeti alipokuwa akijisifu kugawa hongo?Utaratibu wa kukamatisha hongo unajulikana ,kwanini asingeandaa takukuru?,aache upumbavu wake