Baada ya Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe kukataa hongo ya Milioni 200 kutoka CCM, Assas na Rostam aundiwa zengwe la kuondolewa madarakani

H
Hizi Thomas zote mbona nimekaa kimbeambea sana? Sioni tuhuma zenye masahiro hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi za kimbeambea sana ..
Mtu aliyeko nyuma ya huu mchezo ni Magufuli,Lowasa,Rostam na Assas ...si unajua Magufuli n mzee wa kutisha tisha watu..
Hivyo hela zao haram za kibiashara wamezipeleka kununua madiwan..na watendaji wa Tamisemi kama vile wakuu wa mikoa,wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakishindwa kuwashawishi ama kwa kutumia vyombo vya dola ndipo hutumia fedha kulainisha...wengine huahidiwa vyeo au kurudi kwenye nafasi zao kwa mabavu..

Utawala uliofilisika kuanzia mawazo hadi maono.
 
Tunakushukuru sana mkuu kwa Taarifa za Uhakika
 
..Meya si alikamatwa na noti za Takukuru?

..tena nakumbuka DC Mh.Kasesela alijitokeza kwenye vyombo vya habari kueleza tukio hilo.

..sasa imekuwaje mpaka leo bado Takukuru wameshindwa kumfikisha mahakamani?
 
Maskini Tanzania yangu! Iliondoka na Mwalimu Nyerere.
Huu ni uhuni uliopitiliza. Enzi za Nyerere kesi ikiwa mahakamani watu walikuwa hawaingilii mwenendo wake.
Chama changu pendwa akili ipo gereza Isanga karibu na Mirembe .
 
..Meya si alikamatwa na noti za Takukuru?

..tena nakumbuka DC Mh.Kasesela alijitokeza kwenye vyombo vya habari kueleza tukio hilo.

..sasa imekuwaje mpaka leo bado Takukuru wameshindwa kumfikisha mahakamani?
Ndugu yangu ...nchi hii siyo tuliohahidiwa 2015...
 
Back
Top Bottom