Baada ya Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe kukataa hongo ya Milioni 200 kutoka CCM, Assas na Rostam aundiwa zengwe la kuondolewa madarakani

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,305
2,000
IMG_20200302_154856.jpg
IMG_20200302_154858.jpg
IMG_20200302_154900.jpg

Sijui nani huwa anabariki huu upuuzi .
 

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,305
2,000
Acheni propaganda, huyu dogo (meya) hata milioni moja tu angeachia ngazi sembuse milioni 200?
Unakuwaga kama shetani hivi...Juzi Makonda na team yake walienda Mbeya kumhonga Joseph Silinde na milioni 20 akazikataa ...au mnataka tulete ushahidi.

Assas ametoa mamilioni kwa Alex Kimbe ili aunge mkono juhudi ..mayor anajitambua huyo amezikataa.
Kwani wengine mmewanunua kwa Tsh ngap ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom