Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
...naona mwandosya ndiye anafaa maana ameonyesha ukomavu sanaWaziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
Hawa jamaa wameona kuwa majina yao siyo miongoni mwa wagombea sasa wanahaha kutafuta mbeleko bado Lowasa naye atasema hawana ujanja.
Mwaka naona kila mkoa kuna zaidi ya mgombea Urais mmoja!
Ila wengi wao km kina Pinda ni wasindikizaji tu
Hata Lowassa nae wapo watakao muunga mkono endapo majina yao yasipopita. The feeling is mutual
Kama wagombea wenyewe tayari hawajiini kiasi cha kumpigia debe mwenzao basi hawafai wa-withdraw from the race hata kukipunguzia chama gharama za kuwajadili
Hapo ndipo namuona lowassa JEMBE
Hii Sasa kero, kwanini wamechukua forms....
Ngoja tuone Mamvi nae atasema anamuunga mkono nani duh!!:hatari: