Baada ya Membe, Pinda naye asema yupo tayari kumuunga mkono Mwandosya asipoteuliwa

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
525
228
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Hawa jamaa wameona kuwa majina yao siyo miongoni mwa wagombea sasa wanahaha kutafuta mbeleko bado Lowasa naye atasema hawana ujanja.
 
Kama wagombea wenyewe tayari hawajiini kiasi cha kumpigia debe mwenzao basi hawafai wa-withdraw from the race hata kukipunguzia chama gharama za kuwajadili
Hapo ndipo namuona lowassa JEMBE
 
Mwaka naona kila mkoa kuna zaidi ya mgombea Urais mmoja!

Ila wengi wao km kina Pinda ni wasindikizaji tu
 
Ohoo, misifa yoote aliyompa Lowassa kumbe yuko kwenye mkokoteni wa Mwandosya??? Mungu tunusuru na CCM!
 
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.

CCM tayari wanaye mgombea bado taratibu tu za kumtangaza. Naye ni Jaji mstaafu Augustino Ramadhani. Mwandosya anatoka kabila kubwa na hafai kuwa rais kwa sababu zinazoeleweka. Kwa kuwa ni mwadilifu anaweza kuteuliwa kuwa waziri Mkuu.
 
Waziri mkuu wa JMT amesema akikatwa na kamati kuu yupo tayari kumuunga mkono Pro. Mark Mwandosya.

Kama walijijua na hawajiamini wao sio presidential material, walichukua form za nini?

Kama wanamuona Mwandosya anafaa, wangemuunga mkono, sasa subirini muone Lowassa atakavyowatimulia vumbi, hamna rangi mtaiona
 
Hawa jamaa wameona kuwa majina yao siyo miongoni mwa wagombea sasa wanahaha kutafuta mbeleko bado Lowasa naye atasema hawana ujanja.

Pole sana kijana,kama una ndoto hizo za lowasa kujiondoa kwenye kinyanganyiro cha urais ndio utakesha ukiomba bila kupata jibu,subiri kupata maumivu.
 
Kama wagombea wenyewe tayari hawajiini kiasi cha kumpigia debe mwenzao basi hawafai wa-withdraw from the race hata kukipunguzia chama gharama za kuwajadili
Hapo ndipo namuona lowassa JEMBE

Lowasa anawatoa jasho ccm.
 
Wajitoe ijulikane kabisa.
Mi najua watao enda hadi mwisho bila jitoa ni January, Lowasa
 
Back
Top Bottom