Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
- Thread starter
- #21
Hawa jamaa wameona kuwa majina yao siyo miongoni mwa wagombea sasa wanahaha kutafuta mbeleko bado Lowasa naye atasema hawana ujanja.
Wengine nao wasipofanya hivyo sasa, watafanya hivyo hapo baadae chama kitakapopitisha jina moja tarehe 12/07. Kwa hiyo ni suala la muda tu.