Baada ya Membe kugomewa; JK kuzungumza na Viongozi wa dini Usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Membe kugomewa; JK kuzungumza na Viongozi wa dini Usiku

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mongoiwe, Oct 26, 2010.

 1. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  HABARI za Uhakika ambazo nimepokea Punde kutoka kwa viongozi wa Dini jijini Mwanza ni kuwa Baada ya Bernaed Membe kujaribu kuzungumza na viongozi wa dini na madhehebu ya Kikristu na kushindwa kuwabadili, leo Usiku saa 5:00 Kikwete atakutana na viongozi hao kwa siri na kuwabembeleza kumchagua na kumpigia kampeni kwa waumini wao.

  Eneo la kikao hicho mpaka sasa hawajaambiwa, lakini Utaratibu uliopangwa watakutana kwa makundi ambapo kundi la kwanza litakuwa ni;
  1. Maaskofu tu
  2. Wachungaji

  Maendelea kukatuma Ka INZI kufuatilia kwa ukaribu zaidi na kujua jinsi ambavyo mzee atajitetea kwao kuomba wamchague na wakawaambie waumini wao.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  hawadanganyiki hao
   
 3. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona amechelewa kukutana nao, ibada c huwa inakuwa J'pili, sasa anategemea watakutana na waumini lini kabla ya uchaguzi? Ni vyema angekutana na wale wa Ijumaa manake ndio watapata muda wa kutafakari kwa kina...
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Kwa taarifa yako maaskofu wengi hawapo kanda ya ziwa wako Mbeya leo wanaadhimisha jubilee ya askofu wa RC JIMBO LA mbeya misa ndo imekwisha sasa hivi.Wale wako bussy na mambo ya kichungaji wanaokoa kondoo wao.Hawadanganyiki
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Dah... huu ndio udini sasa!!! Keshamalizana na waislamu sasa ananunua wakristu

  halafu analaani udini

  Tutafanya zaidi... mkinipa rishaa yenu
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!Ngoma nzito safari hii?
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,097
  Trophy Points: 280
  Well my dear friend JK ...it is too late to catch the departed plane....just go home and have a piece of mind................it is a case of too little too late.
   
 8. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Kumbe walioko Mbeya ni kanisa la RC atapata wengine kwani hata kwa Membe RC hakufika Askofu bali waliwakirishwa na Padri Kubeja.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  its too late!! :wave: jk
   
 10. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Labda kwa kuwa amesikia wengine wamefunga ibada jumapili badala yake kutakuwepo na ibada Jumamosi. Hapo washauri wake wanaonekana kuamka dakika za mwisho. lakini atafanikiwa?
   
 11. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mbona Membe tayari alikuwa na RED CARD ya maaskofu kutokana na faulo aliyofanya DODOMA BUNGENI? KOCHA WAKE ATAKUBALIWA KUKATA RUFAA KWA NIABA YA MCHEZAJI? KWANZA JK HANA UWEZO WA KUJENGA HOJA AKIWA KATIKA KUNDI LA WASOMI ATAANZAJE?
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mwehu tu huyu hana jipya ndo maana ana hangaika sana

  hivi ni lini maaskofu wakakubnali kikao cha siri tena na mtu amabaye hajiheshimu?!!

  sidhani kama hawa jamaa wataenda
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hahhahahhhaaaaaaaaaaaaaa
   
 14. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Watu wa mwanza tupeni habari make nasikia RA na waziri alifukuzwa kazi kwa ufisadi wa Richmond walikutana na mkurugenzi wa uchaguzi mwanza kwa siri, na mjanja mmoja alirekodi hayo mazungumzo, tubandikieni hapa tuwavue nguo.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  aiseeeeeee,ya kweli haya?ila lisemwalo lipo
   
 16. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  TOOOOOOO LATE:yield:
   
 17. baina

  baina JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jk masikini ajiandae kurudi chalinze 31.10.10
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Ushauri wa bure kwa JK:
  IEPUSHE TANZANIA NA MATATIZO KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI HURU NA HAKI, UTAPATA HESHIMA KUBWA LICHA YA KUWA KUNA MAMBO HUKUFANYA VIZURI HUKO NYUMA, UTAJIPAMBANUA NA VIONGOZI WA KIAFRIKA AMBAO WAKO TAYARI KUINGIZA NCHI ZAO KWENYE MACHAFUKO ILI MRADI WABAKI MADARAKANI.

  HESHIMA SIYO KUTAWALA TU HATA KUONDOKA MADARAKANI KWA NJIA YA KISTAARABU KUNAWEZA KUKUPA HESHIMA KUBWA. ACHANA NA WAPAMBE WANAKUPOTOSHA
   
 19. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,847
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Biblia inakataa Rushwa na kwamba kama msimamo wa kutomchagua JK haukutokana na udini bali dhambi za ufisadi. Kutubu ufisadi mpaka viongozi wa dini wakukubali ni ngumu kwani ili utakasishwe inabidi urudishe vile vinavyoweza kurudishwa kama sehemu ya toba. Hivi ataweza?

  Vote kwa ujasiri kwa Slaa hapa ni mambo yamekwisha kwenda Kombo
   
Loading...