Baada ya mechi ya Ruvu shooting, Zahera afunguka haya

Akwendeee zake!Anavunga ana uchungu na Yanga utadhani Yanga wana tawi lao huko Kongo.Mtu wa kuja unavunga unaijua sana Yanga,kafie mbele!Tuache na Yanga yetu.
Bila shaka hii ni kauli ya mwana msimbazi. Hakuna mwana yanga atakayefurahia kuondoka kwa afisa mipango Mr. Zahera Mwinyi
 
Hahahaha jamaa anaanza kutafuta sababu


kumbe anaigopa simba
Soka la Bongo ukitaja Yanga huwezi acha Simba ndo maana saiz mnajaa Kwenye mabanda kuiangalia Yanga game za TPL,Mbona game za Azam hamjai vibandani? Au kwenda chamanzi
 
Aisee, Bongo bahati mbaya.
Yanga tunabahati kupata makocha wazuri sana.
Pluijm kasepa
Yule Mzambia nae alkuwa mzuri sana
Zahera jamani, mbona sisi Bundi haishi kulia.?
Zahera anarudi tar 26/12/2018
 
Hivi anaejua sababu ya Kamati ile ya kina tarimba kushindwa kufanya zake atiririke hapa
 
Soka la Bongo ukitaja Yanga huwezi acha Simba ndo maana saiz mnajaa Kwenye mabanda kuiangalia Yanga game za TPL,Mbona game za Azam hamjai vibandani? Au kwenda chamanzi

Mimi sipendagi kuangalia gemu za yanga maana huwa siwaelewi jinsi wanavyo cheza
 
Back
Top Bottom