Baada ya matokeo ya Igunga liokoeni jukwaa la siasa

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Insivible, Paw,
Pamoja na timu yenu nzima ya JF.

kutokana uchaguzi wa ubunge jimbo la Igunga kumalizika na matokeo yake kutanganzwa hali itakuwa sio nzuri jukwaa la siasa.
Mods: wanatakiwa kwa wingi kulinda usalama kwa kipindi hiki cha matokeo ya uchaguzi wa Igunga!

Kuna watu watayapokea haya matokeo kwa maumivu na kuna watayapokea kwa furaha na kejeli na dharau dhidi ya upande utakaoshindwa ili kuepusha Ban ambazo sio za lazima kwa members Mods: msicheze mbali.

Ni hayo tu wakuu
 
Umekua mshauri rika??
 
Kabisa Mkuu, Na wanajamii tujue kuwa siasa si uadui hivyo tukomae kisiasa.
 
Taarifa kutoka vyanzo vya karibu, CUF waliuza kura kwa CCM. Kijana mahona kala mlungula zaidi ya 200mil, habari zaidi nitazirusha kila nitakapopata detail zaidi.
 
Umekua mshauri rika??

Hapana, jamaa ni mwanasaikolojia na mnajimu, anachokiona ndicho kitakachotokea muda si mrefu kuanzia sasa ambapo tayari Msimamizi wa uchaguzi jimbola Igunga bw, magayane kamtangaza dr Kafumu wa chama cha ccm kuwa mbunge akiwa amemshinda kwa karibu bw Kashindye wa cdm,
Ushindi huu umekuja ikiwa ni tangu juzi gwiji la wizi wa kura BWM lielekee Igunga
 
Back
Top Bottom